Syria:Makubaliano ya amani yatekelezwa
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa saa 48 yameanza kufanya kazi kati ya muungano wa waasi Syria na vikosi vinavyoiunga serikali mkono katika miji mitatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Sep
Makubaliano ya amani yakiukwa Ukraine.
Milipuko mikali imesikika katika mji wa Bandari wa Mariupol mashariki mwa Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
Makubaliano ya amani yaheshimiwa Ukraine
Baada ya miezi kadhaa ya mapigano nchini Ukraine,Serikali na waasi wanaounga mkono Urusi wamekubaliana kusitisha vita.
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Makubaliano ya amani yaafikiwa Mali
Maafikiano ya amani yametiwa sahihi yakiwa na lengo la kumaliza mzozo wa miaka mingi kati ya serikali na waasi wa Tuareg.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wapinzani Syria wataka amani
Makundi ya upinzani nchini Syria wamekubaliana kuwa na tamko moja kwa serikali juu ya suala la Amani .
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Walinda amani wasambazwa-Syria
Umoja wa mataifa imesambaza maelfu ya walinda amani huko Syria katika eneo la Golan ambalo linamilikiwa na Israel.
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Syria:Hali yatokota amani ikisubiriwa
Wajumbe wa Marekani na Urusi wanatarajiwa kujiunga na mazungumzo ya amani yanayolenga kusitisha vita huku mapigano yakichacha
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Papa Francis aombea amani Syria na Libya
Papa Francis ameombea kufanikiwa kwa juhudi za Umoja wa Mataifa za kutafuta amani nchini Syria na Libya kwenye ujumbe wake wa Krismasi.
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Hukumu ya kifo ya yatekelezwa Misri
Misri imetekeleza hukumu ya kifo ya mwanzo, iliyotolewa baada ya kupinduliwa kwa serikali ya rais muislamu, Mohammed Morsi,
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania