Makubaliano ya amani yaafikiwa Mali
Maafikiano ya amani yametiwa sahihi yakiwa na lengo la kumaliza mzozo wa miaka mingi kati ya serikali na waasi wa Tuareg.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Aug
Syria:Makubaliano ya amani yatekelezwa
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa saa 48 yameanza kufanya kazi kati ya muungano wa waasi Syria na vikosi vinavyoiunga serikali mkono katika miji mitatu.
10 years ago
BBCSwahili07 Sep
Makubaliano ya amani yakiukwa Ukraine.
Milipuko mikali imesikika katika mji wa Bandari wa Mariupol mashariki mwa Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
Makubaliano ya amani yaheshimiwa Ukraine
Baada ya miezi kadhaa ya mapigano nchini Ukraine,Serikali na waasi wanaounga mkono Urusi wamekubaliana kusitisha vita.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Mkutano wa amani nchini Mali
Serikali ya Algeria, mnamo Jumatano iliandaa mkutano wa amani ulionuia kumaliza vita Kaskazini mwa Mali.
11 years ago
BBCSwahili14 Dec
Walinda amani 2 wa UN wauwa Mali
Walinda amani 2 UN wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulizi la bomu dhidi ya benki pekee ya serikali mjini Kidal Kaskazini mwa Mali.
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
Mali:Mwanajeshi wa kulinda amani auawa.
Afisa mmoja wa kikosi cha kulinda amani katika Umoja wa Mataifa ameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo kazkazini mwa Mali.
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
UN yawaagiza waasi kuweka amani Mali
Katibu mkuu wa umoja Ban ki Moon ametaka waasi wa Tuareg nchini Mali kutia sahihi makubaliano ya amani ili kuleta utulivu
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Mkataba wa amani Mali wakubaliwa nusu
Baadhi ya wapiganaji na serikali wafikia makubaliano ya amani Mali, lakini wengine wataka muda zaidi
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Mali:Wanajeshi 2 wa kulinda amani wauawa
Wanajeshi wawili wa kulinda amani raia wa Burkina Farso katika shirika la Umoja wa Mataifa wameuawa na saba wengine kujeruhiwa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania