Mkataba wa amani Mali wakubaliwa nusu
Baadhi ya wapiganaji na serikali wafikia makubaliano ya amani Mali, lakini wengine wataka muda zaidi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVITUKO UGHAIBUNI: JAMAA AZIGAWA MALI ZAKE NUSU KWA NUSU BAADA YA KUMWAGANA NA MKEWE
Baiskeli iliyokatwa na jamaa huyo. Gari hili nalo lilikatwa katikati kwa ajili ya kumaliza mgogoro kati ya jamaa huyo na mkewe. Video ya jamaa huyo akikata mali zake katikati. NJEMBA mmmoja nchini Ujerumani amezua sintofahamu baada ya kuamua kugawa nusu kwa nusu kila mali…
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Sudan.K: Kusaini mkataba wa amani
Pande zinazozozana kwenye mgogoro wa Sudan Kusini zinatarajiwa kutia saini mkataba wa kusitisha vita mjini Addis Ababa Ethiopia
9 years ago
BBCSwahili16 Aug
Mkataba wa amani wa Sudan-K watarajiwa
Viongozi wa Afrika Mashariki wakusanyika Ethiopia kwa mkutano kuhusu mkataba wa amani wa Sudan Kusini
11 years ago
BBCSwahili11 May
Mkataba wa amani waafikiwa Sudan kusini
Mkataba wa usitishaji uhasama kati ya serikali na waasi nchini Sudan kusini waanza kutekelezwa.
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Kiir aahidi kutekeleza mkataba wa amani
Akihutubu kupitia runinga ya taifa Kiir amesema amejitolea kufanikisha mkataba wa amani uliotiwa saini mwezi uliopita.
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Ni rasmi - Mkataba wa amani DRC na M23
Viongozi wa Maziwa makuu, akiwemo mwenyekiti wao Yoweri Museveni, wameidhinisha mkataba wa amani kati ya M23 na DRC jijini Nairobi
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Salva Kiir atia saini mkataba wa amani
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametia saini makubaliano ya amani yanayonuiwa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda wa miezi ishirini.
11 years ago
BBCSwahili13 May
IGAD yaasa viongozi kutii mkataba wa amani
Wapatanishi Afrika Mashariki, wanafanya mazungumzo na wanasiasa kadhaa wa Sudan Kusini kusisitiza mkataba wa amani uliotiwa saini Ijumaa unatekelezwa ipasavyo.
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Makubaliano ya amani yaafikiwa Mali
Maafikiano ya amani yametiwa sahihi yakiwa na lengo la kumaliza mzozo wa miaka mingi kati ya serikali na waasi wa Tuareg.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania