Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO PWANI

Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha katika ajali…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BASI LA DAR EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO WILAYANI BAGAMOYO

 Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani SACP Jafari Ibrahimu kwamba basi la kampuni ya Dar Express limeteketea kwa moto likiwa safarini kutokea Dar es salaam kuelekea Arusha likiwa abiria wa kutosha kama ilivyo abiria wanavyokuwa wamejaa kwenye mabasi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani anasema ‘Ni kweli basi la Dar Express leo saa saba mchana limeteketea kwa moto katika kijiji cha Makocho kijiji hiki kiko katikati ya kijiji cha Mandera na Mbwewe ndani ya Wilaya ya Bagamoyo...

 

10 years ago

Michuzi

basi la kampuni ya Dar Express lateketea kwa moto wilayani Bagamoyo

 Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani SACP Jafari Ibrahimu kwamba basi la kampuni ya Dar Express limeteketea kwa moto likiwa safarini kutokea Dar es salaam kuelekea Arusha. Kamanda Ibrahimu wa polisi mkoa wa Pwani amesema ‘Ni kweli basi la Dar Express leo saa saba mchana limeteketea kwa moto katika kijiji cha Makocho katikati ya kijiji cha Mandera na Mbwewe ndani ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. "Lilipata hitilafu kisha likaanza kuungua lenyewe. Bahati nzuri abiria...

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LIMETEKETEA KWA MOTO PWANI

Muonekano wa basi la Dar Express likiteketea kwa moto leo mchana eneo la Kwamakocho, Kijiji cha Kimange, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafari Ibrahimu amesema Basi la Dar Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Arusha, leo mchana limeteketea kwa moto eneo la Kwamakocho, Kijiji cha Kimange, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Kamanda Ibrahimu amesema kuwa abiria wote waliokuwemo...

 

11 years ago

GPL

GARI LATEKETEA KWA MOTO

Gari likiteketea kwa moto mjini Arusha Gari hilo likiwa karibu na kituo cha mafuta cha Mount Meru. Gari la zima moto lililofika kuuzima moto huo.…

 

10 years ago

GPL

GARI LATEKETEA KWA MOTO MOROGORO

Gari dogo likiteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Gari la zimamoto likiwa limefika na kuanza kazi ya kuuizima moto huo.…

 

5 years ago

CCM Blog

SOKO TEGETA LATEKETEA KWA MOTO

  Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vibanda saba katika soko la Tegeta Nyuki Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Musa Taibu amesema moto huo ulianza saa 6 usiku.
“Ni kweli moto umeshika sehemu ya maduka na sio soko lote, vibanda saba vimeteketea. Baada ya kupata taarifa polisi kwa kushurikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji walifanikiwa kuuzima,” amesema.
Kamanda Taibu amesema uchunguzi umeanza kubaini chanzo na hasara iliyosababishwa na moto...

 

11 years ago

Mwananchi

Soko la Karume lateketea kwa moto

>Soko la Karume (soko la mchikichini) limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana. Chanzo cha moto  kinadaiwa ni hitilafu ya umeme iliyoanzia kwenye ghala la kuhifadhia bidhaa.

 

10 years ago

GPL

SOKO LA WAKULIMA KAHAMA LATEKETEA KWA MOTO

Soko la Wakulima la Majengo, Kahama lilivyoteketea kwa moto. Wafanyabiashara wa soko hilo wakitoa baadhi ya bidhaa zilizosalia baada ya tukio hilo. Uokoaji wa bidhaa ukiendelea.…

 

10 years ago

Vijimambo

GARI LATEKETEA KWA MOTO MAKUMBUSHO DAR

Gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto eneo la Makumbusho Usalama kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto jana jioni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mapema.Gari hilo likiendelea kuteketea kw moto.Kama kawaida ya wabongo wasiokuwa wanahabari rasmi wakinasa matukio ili kusambaza katika mitandao.Foleni ya magari katika eneo hilo kila dereva akijaribu kushangaa huku moto ukizidi kuliteketeza gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani