BASI LA DAR EXPRESS LIMETEKETEA KWA MOTO PWANI
Muonekano wa basi la Dar Express likiteketea kwa moto leo mchana eneo la Kwamakocho, Kijiji cha Kimange, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafari Ibrahimu amesema Basi la Dar Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Arusha, leo mchana limeteketea kwa moto eneo la Kwamakocho, Kijiji cha Kimange, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Kamanda Ibrahimu amesema kuwa abiria wote waliokuwemo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBASI LA DAR EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO WILAYANI BAGAMOYO
Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani anasema ‘Ni kweli basi la Dar Express leo saa saba mchana limeteketea kwa moto katika kijiji cha Makocho kijiji hiki kiko katikati ya kijiji cha Mandera na Mbwewe ndani ya Wilaya ya Bagamoyo...
10 years ago
Michuzibasi la kampuni ya Dar Express lateketea kwa moto wilayani Bagamoyo
11 years ago
GPLBASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO PWANI
11 years ago
GPLBASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI WAMI
10 years ago
GPLBASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MSATA
11 years ago
MichuziBASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI
Bari mali ya kampuni ya Dar Express iliyokua ikitokea jijini Dar na kuelekea Jijini Nairobi,Nchini Kenya limepata ajali mapema leo asubuhi katika eneo la kijiji cha jirani na Mto Wami.Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana. Abiria wengi wamenusurika na kufanikiwa kutoka,japo kuna wachache ambao wamejeruhiwa.
10 years ago
GPLBASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA
10 years ago
Vijimambo10 Oct
BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO ALHAMISI OCT 9, 2014
Wananchi wakiwa eneo la tukio muda mfupi baada ya basi la Dar Express kupata ajali.
Muonekano wa basi la Dar Express lenye namba za usajili T640 AXL linalofanya safari zake Kati ya Dar na Rombo baada ya kupata ajali jana jioni eneo la Marangu, Mamba mkoani Kilimanjaro.
(PICHA NA MTANDAO)
10 years ago
VijimamboBASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.
Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
wakizungumza na...