BATULI ACHIMBA MKWARA USHIRIKINA
![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND2K0jMvKjYZzWJ*cDjEbyTDLv5LZ2yW*VHMbDRCBNDpSdWsGxN9VwZzHsq7Upf0JVEql8pk1ft8k5zbJabb4zP7/batuli3.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema kama kuna mtu yeyote anahusika na vifo vya wasanii katika ushirikina basi anajisumbua, kwake hawafui dafu. STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ Batuli ameiambia Bongowood kuwa, hana uhakika kama wasanii hao vifo vyao vinatokana na mkono wa mtu kama minong’ono iliyoenea lakini kama kuna mambo ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Oct
Bossou achimba mkwara
BEKI wa Yanga raia wa Togo, Vicent Bossou amesema mechi moja aliyoichezea klabu yake ya Yanga imemsaidia kujua ushindani uliopo kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara inayoendelea kwa sasa.
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Sitta achimba mkwara
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amewaonya wajumbe wanaozungumza hovyo bungeni bila idhini ya kiti akisema wataingia kwenye matatizo bure. Sitta alitoa angalizo hilo bungeni jana alipokuwa akitoa...
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Mkwasa achimba mkwara Yanga
11 years ago
Mwananchi15 May
Kocha achimba mkwara Stars
11 years ago
Mwananchi01 Jul
MAANDALIZI: Maximo achimba mkwara Yanga
9 years ago
Habarileo12 Dec
Kerr achimba mkwara Ligi Kuu
KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amezitahadharisha timu atakazokutana nazo kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kujiandaa kwa kichapo kwani kikosi chake kina sura nyingi mpya zinazohitaji mafanikio.
9 years ago
Habarileo08 Nov
Kipa Simba achimba mkwara Ligi Kuu
KIPA wa kimataifa wa Simba, Vicent Angban, amesema kama ataendelea kupangwa kuidakia timu hiyo kwenye mechi za Ligi Kuu ya Tanzania bara ana uhakika wa kubeba tuzo ya kipa bora msimu huu kwa kua hajaona mshambuliaji wa kumhofia.
9 years ago
Bongo514 Dec
Kanye West achimba mkwara, hataki kuulizwa chochote kuhusu album mpya
![kanye-west](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/kanye-west-300x194.jpg)
Baba Saint, Kanye West amecharuka na kupiga mkwara mzito kuwa hataki kuulizwa maswali kuhusu album yake mpya iitwayo ‘Swish’ ambayo amedai yuko anaimalizia.
Kupitia Twitter Kanye aliandika:
I’m finishing my album and my next collection…
— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015
no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM
— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015
Tweet hizo zinaondoa kabisa matumaini ya album hiyo ya saba ya...
9 years ago
Bongo501 Dec
Hapa Kazi Tu: Said Fella achimba visima vilivyokwama kwa miaka mitatu kwenye kata ya Kilungule (Picha)
![20151130234938](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151130234938-300x194.jpg)
Kasi ya Rais Dkt John Magufuli ya kupiga kazi tu imewaambukiza viongozi wengi.
Muasisi wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella ambaye pia ni diwani wa kata ya Kilungule ya wilayani Temeke, Dar es Salaam ameanza kutekeleza ahadi zake.
Fella ameiambia Bongo5 kuwa ameanza kwa kuvirejesha visima vilivyokuwa vimeshindwa kutoa maji kwa miaka mitano iliyopita. Chini ni picha za kazi hiyo.
Amesema wakati wa kampeni aliahidi kuwa angeanza kushughulikia kero ya maji kwenye kata yake ndani ya siku 30....