Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kerr achimba mkwara Ligi Kuu

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amezitahadharisha timu atakazokutana nazo kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kujiandaa kwa kichapo kwani kikosi chake kina sura nyingi mpya zinazohitaji mafanikio.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kipa Simba achimba mkwara Ligi Kuu

KIPA wa kimataifa wa Simba, Vicent Angban, amesema kama ataendelea kupangwa kuidakia timu hiyo kwenye mechi za Ligi Kuu ya Tanzania bara ana uhakika wa kubeba tuzo ya kipa bora msimu huu kwa kua hajaona mshambuliaji wa kumhofia.

 

9 years ago

Mwananchi

Ligi Kuu Bara yamchosha Kerr

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amekuwa mkali mithiri ya mbogo akichoshwa na kusimama mara kwa mara Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo amesema inazimaliza timu nyingi.

 

9 years ago

Habarileo

Bossou achimba mkwara

BEKI wa Yanga raia wa Togo, Vicent Bossou amesema mechi moja aliyoichezea klabu yake ya Yanga imemsaidia kujua ushindani uliopo kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara inayoendelea kwa sasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta achimba mkwara

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amewaonya wajumbe wanaozungumza hovyo bungeni bila idhini ya kiti akisema wataingia kwenye matatizo bure. Sitta alitoa angalizo hilo bungeni jana alipokuwa akitoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha achimba mkwara Stars

Kocha wa Taifa Stars, Mdachi Martinus Nooijm ameweka wazi kwamba mchezaji atakayejituma mazoezini ndiye mwenye uhakika wa namba katika kikosi chake, bila kujali umaarufu wa majina yao nje ya uwanja.

 

11 years ago

GPL

BATULI ACHIMBA MKWARA USHIRIKINA

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema kama kuna mtu yeyote anahusika na vifo vya wasanii katika ushirikina basi anajisumbua, kwake hawafui dafu. STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ Batuli ameiambia Bongowood kuwa, hana uhakika kama wasanii hao vifo vyao vinatokana na mkono wa mtu kama minong’ono iliyoenea lakini kama kuna mambo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkwasa achimba mkwara Yanga

>Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa jana alianza kazi rasmi ya kukinoa kikosi hicho na kusisitiza kuwa mchezaji asiyekuwa na nidhamu hana nafasi katika timu yake.

 

11 years ago

Mwananchi

MAANDALIZI: Maximo achimba mkwara Yanga

>Kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo amesema atamka mshahara mchezaji yeyote atakayekwenda kinyume na matakwa ya timu.

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West achimba mkwara, hataki kuulizwa chochote kuhusu album mpya

kanye-west

Baba Saint, Kanye West amecharuka na kupiga mkwara mzito kuwa hataki kuulizwa maswali kuhusu album yake mpya iitwayo ‘Swish’ ambayo amedai yuko anaimalizia.

kanye-west

Kupitia Twitter Kanye aliandika:

I’m finishing my album and my next collection…

— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015

no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM

— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015

Tweet hizo zinaondoa kabisa matumaini ya album hiyo ya saba ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani