Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Kuu Bara yamchosha Kerr

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amekuwa mkali mithiri ya mbogo akichoshwa na kusimama mara kwa mara Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo amesema inazimaliza timu nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara

Usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu ujao umekaa kibabe tofauti na misimu mingine.

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

9 years ago

Habarileo

Kerr achimba mkwara Ligi Kuu

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amezitahadharisha timu atakazokutana nazo kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kujiandaa kwa kichapo kwani kikosi chake kina sura nyingi mpya zinazohitaji mafanikio.

 

10 years ago

Mwananchi

Sare tu Ligi Kuu bara

Simba imeshindwa kujinasua kwenye nafasi za chini kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare tasa ya 0-0 dhidi ya Coastal Union katika siku iliyotawaliwa na sare lukuki kwenye viwanja vingi nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Ligi Kuu Bara bil 6.6/-

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), jana lilisaini mkataba mpya na Kampuni ya simu ya Vodacom wa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya Sh bilioni 6.6 kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

 

9 years ago

Mtanzania

Mambo magumu Ligi Kuu Bara

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MAMBO magumu! Hiyo ndiyo hali halisi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu, baada ya kutokea mchuano mkali miongoni mwa timu shiriki.

Mchuano huo mpaka sasa umeonekana kuzihusu zaidi timu zinazoshika nafasi ya kwanza hadi ya 10 kwenye msimamo wa ligi, huku timu za Simba, Yanga na Azam zikipewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa.

Ligi imefikia raundi ya saba huku baadhi ya timu zikicheza mechi sita lakini pia tofauti ya pointi katika msimamo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo za ligi kuu Tanzania bara

Makocha Hans Plujim na Goran Kopunovic, wanagombea tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara

 

10 years ago

Mwananchi

Mavazi ya makocha wa Ligi Kuu ya Bara

Makocha mbalimbali duniani ni nadhifu kutokana na jinsi wanavyovaa wanapokuwa katika majukumu yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani