Bayern, PSG, Chelsea zagawa dozi
Bayern Munich inakaribia kutwaa ubingwa wa Ujerumani, mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain wanaelekea kutetea taji lao, huku Chelsea ikiendelea kujiimalisha kileleni mwa Ligi Kuu ya England. HISPANIA
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Man U yapangwa na Bayern,Chelsea na PSG
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Yanga, Azam zagawa dozi
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Man United kwa Bayern, Chelsea kwa PSG
11 years ago
StarTV01 Oct
Bayern yashinda,Barcelona yafungwa na PSG.
Kitimtim cha klabu bingwa barani Ulaya kiliendelea tena usiku wa kuamkia leo huku zikishuhudiwa nyasi za viwanja kadhaa zikiwaka moto kuruhusu wababe wa soka kutoka nchi mbalimbali wakizitafuta point tatu muhimu.
Nchini Ufaransa wenyeji Paris St Germany (PSG), waliikaribisha timu ya Barcelona, hadi mwisho wa mchezo huo wenyeji PSG wakaibuka washindi kwa jumla ya mabao 3-2.
Nchini Urusi wenyeji CSKA MOSCOW wameangukia pua baada ya kufungwa goli 1-0 na wababe wa soka wa Ujerumani Bayern...
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Bayern Munich, PSG robo fainali UEFA
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Kivumbi leo UEFA, Bayern,PSG kufa kupona
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Chelsea v Atletico, Real v Bayern