Bayo Na Imbori -30
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Akiwa kwenye chumba katika uangalizi maalumu Hospitali, Imbori anachomwa sindano yenye madini ya chumvi-sumu yaitwayo Acetate ukiwa ni mchongo alioupanga Josephine kwa lengo la kummaliza msichana huyo baada ya kuponea chupuchupu alipopigwa risasi.Tambaa nayo…
MADINI ya chumvi-sumu aliyochomwa Imbori yanasambaa kwenye mwili wake, kwa kasi ya ajabu anapoteza kiwango kikubwa cha maji kiasi kwamba hata Dk. Donard Mand alipokwenda kumjulia hali alishangazwa na upungufu...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Bayo The Great — Kitimtim
![5a9baf06-53aa-486f-a224-e9ae2a0258c0](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/5a9baf06-53aa-486f-a224-e9ae2a0258c0-300x194.jpg)
Ngoma mpya ya rapper Bayo The Great ‘Kitimtim’ iliyotayarishwa na Mesen Selekta. Kwenye ngoma hii Bayo ameonesha uwezo wake mkubwa wa dancehall na beat yenye ladha ya Kitanzania inaupendezesha zaidi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo528 Dec
New Music: Bayo – Tell Me (Cardiac Bass Riddim)
![dogo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/dogo-300x194.jpg)
Hii ni riddim mpya kutoka kwa msanii Bayo, ngoma inaitwa Tell Me. Riddim iliyotumika ni cardiac bass ambayo baadhi ya hit song kutoka kwenye riddim hiyo ni pamoja na Paper Loving ya Chris Martin, Up ya Alaine, Before I Leave ya Jah Cure na nyingine nyingi. Enjoy.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6QB_OVby0D0/default.jpg)
9 years ago
Bongo530 Oct
Wasanii waliofanikiwa kimataifa wawe tayari kuwapa wengine ‘connection’ — Bayo
5 years ago
MichuziBAYO:OLE WAKE ATAKAYEKAMATWA ANASHIRIKI KILIMARATHON BILA KUWA NA NAMBA SHERIA ITAKUSHUGHULIKA NAE
Pichani ni Mratibu na Mkurugenzi wa mbio za Kilimarathon John Bayo
Na Vero Ignatus,Arusha.
Tahadhari imetolewa kwa wakimbiaji wa mbio za KiliMarathoni ambao wanatumia namba zilizokwisha kutumika miaka iliyopita kuacha mara moja kwani jambo hilo halitafungiwa macho bali sheria itachukua mkondo wake.
Akizungumza Mratibu na Mkurugenzi wa mbio hizo John Bayo alisema kuwa tabia hiyo siyo njema kwani inawanawanyima huduma wale wote waliolipia namba hizo kwaajili ya mbio 2020
‘’Mwaka jana tulipata...