New Music: Bayo – Tell Me (Cardiac Bass Riddim)
Hii ni riddim mpya kutoka kwa msanii Bayo, ngoma inaitwa Tell Me. Riddim iliyotumika ni cardiac bass ambayo baadhi ya hit song kutoka kwenye riddim hiyo ni pamoja na Paper Loving ya Chris Martin, Up ya Alaine, Before I Leave ya Jah Cure na nyingine nyingi. Enjoy.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Bayo The Great — Kitimtim
Ngoma mpya ya rapper Bayo The Great ‘Kitimtim’ iliyotayarishwa na Mesen Selekta. Kwenye ngoma hii Bayo ameonesha uwezo wake mkubwa wa dancehall na beat yenye ladha ya Kitanzania inaupendezesha zaidi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo518 Sep
New Music: Steve RnB — Pole Pole (Tropical Riddim)
10 years ago
BBC9 years ago
Global Publishers05 Jan
Bayo Na Imbori -30
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Akiwa kwenye chumba katika uangalizi maalumu Hospitali, Imbori anachomwa sindano yenye madini ya chumvi-sumu yaitwayo Acetate ukiwa ni mchongo alioupanga Josephine kwa lengo la kummaliza msichana huyo baada ya kuponea chupuchupu alipopigwa risasi.Tambaa nayo…
MADINI ya chumvi-sumu aliyochomwa Imbori yanasambaa kwenye mwili wake, kwa kasi ya ajabu anapoteza kiwango kikubwa cha maji kiasi kwamba hata Dk. Donard Mand alipokwenda kumjulia hali alishangazwa na upungufu...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
TheCitizen19 Dec
LAKE ZONE: Dawn in cardiac surgery
9 years ago
Bongo530 Oct
Wasanii waliofanikiwa kimataifa wawe tayari kuwapa wengine ‘connection’ — Bayo
9 years ago
MichuziUFAHAMU VYEMA MOYO WAKO "CARDIAC ARRHYTHMIA"
Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na kusinyaa ambapo husababisha damu kuingia na kutoka kwenye moyo; umeme kwa kawaida hufuata mkondo na mapigo ya moyo kwa kasi ya kawaida.
Ingawa, kama mkondo wa kawaida wa umeme huu ukivurugwa moyo hushindwa kufanya kazi na kusababisha mapigo ya moyo ama kwenda taratibu sana, haraka sana au...
5 years ago
BBC10 Jun
Burundi President Pierre Nkurunziza dies of 'cardiac arrest'