Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Made in Ghana, bass-ed in London

The Ghanaian sound gets remixed for UK dance floors

BBC

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

YAMOTO Band Live kwa mara ya kwanza kwenye jiji la London { Made in East Africa }

   Confirmed…21Feb2015..Yamoto! Yamoto! Yamoto Band Live in the UK For the first Time Ever…When we Say Live, we mean  Live with Full Band & Dancers… This is one show that’s not to be Missed… Sponsored by @officialjestinageorgeblog @bongodeejays@zuriihouseofbeauty  Zurii House of Beauty CEO akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa Yamoto Band Maromboso na Aslay  baada ya makubaliano ya kuwadhamini band hiyo kuja  kufanya show yao jijini London @maromboso @aslayisihaka  Zurii...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Bayo – Tell Me (Cardiac Bass Riddim)

dogo

Hii ni riddim mpya kutoka kwa msanii Bayo, ngoma inaitwa Tell Me. Riddim iliyotumika ni cardiac bass ambayo baadhi ya hit song kutoka kwenye riddim hiyo ni pamoja na Paper Loving ya Chris Martin, Up ya Alaine, Before I Leave ya Jah Cure na nyingine nyingi. Enjoy.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

TheCitizen

A CHAT FROM LONDON: London welcomes, supports anti-FGM push in Tanzania

>Wednesday, October 15, 2014...A tiny delegation of well educated women; modest and intelligent, will be welcomed into one of the most powerful rooms in the northern hemisphere. First is Mrs Rhobi Samwelly (pictured), mother of four children, hailing from Butiama, Mara Region.

 

10 years ago

Vijimambo

GHANA 3-0 EQUATORIAL GUINEA AFCON 2015 GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI.

 wachezaji wa Ghana  wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja wenyewe Equatorial Guinea 3-0  kwaiyo sasa  Ghana kukutana na Ivory Coast tarehe 8 kwenye fainali. Baada ya kipenga cha mwisho wenyewe wa mashindano hayo ya AFCON walikuwa wamekubali kipigo cha magoli matatu ndipo washabiki walivyoanzisha timbwili hili uwanjani hapo.Hali ilionekana siyo shwari toka kipindi cha kwanza pale Ghana walivyo pewa penati ya mapema hii hapa ilikuwa baada ya dk 45 za kwanza washabiki...

 

9 years ago

TheCitizen

A CHAT FROM LONDON: Wet afternoon, junkie hobbling on a London street

It is a cold wet winter afternoon, a few days after the Paris and Bamako terrorist attacks. As I stroll down a major street in East London, a man is melodically hollering:“Evening Standard! Evening Standard!”

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli

Wakati kampeni za uchaguzi zikiendelea miezi kadhaa iliyopita, Mtanzania mmoja mkazi London alikuwa na mtazamo tofauti. Mwanamuziki na mcheza sarakasi huyu  anaitwa Fab Moses.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu

“Kenya and Friends in the Park” – yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani