#BBHotshots: Idris apeta, Samantha na Mr. 265 wayaaga mashindano
Mwakilishi wa Tanzania aliyesalia kwenye shindano la Big Brother Africa, Idris Sultan ataendelea kuipeperusha bendera ya nchi yake baada ya Jumapili hii kuokolewa na kura za mashabiki barani kote. Hata hivyo Idris anaweza akawa amejeruhiwa kwa mara ya kwanza baada ya rafiki yake wa karibu, Samantha wa Afrika Kusini kuondolewa. Mrembo huyu ameungana na mwakilishi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Nov
Idris Sultan: Mimi na Samantha tumeachana
![IdrisSamantha1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/IdrisSamantha1-300x194.jpg)
Idris Sultan na Samantha wa Afrika Kusini hawapo tena pamoja – kwa mujibu wa mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014.
Akiongea Jumapili, November 15 kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Idris alithibitisha kuwa uhusiano wao umeshavunjika.
Samantha na Idris walikuwa wamefika mbali zaidi kwenye uhusiano wao kiasi cha mrembo huyo waliyefahamiana kwenye shindano hilo kuja Tanzania na kuishi na Idris kwa wiki kadhaa.
Idris akiwa na mtangazaji wa kipindi cha The Playlist, Lil Ommy
“It’s...
10 years ago
TheCitizen19 Dec
SEEN&HEARD: Idris and Samantha are the toast of Dar
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--QK8GNEJGVA/XsaCO7RVVhI/AAAAAAAEHSQ/TqozD0Ny_vgP2516QPn4u7TLeIiXsJSWACLcBGAsYHQ/s72-c/Brian%2BNdadzungira%2B-%2BHead%252C%2BPBB.jpg)
Stanbic Tanzania yatoa afueni ya madeni kwa wateja zaidi ya 265
![](https://1.bp.blogspot.com/--QK8GNEJGVA/XsaCO7RVVhI/AAAAAAAEHSQ/TqozD0Ny_vgP2516QPn4u7TLeIiXsJSWACLcBGAsYHQ/s1600/Brian%2BNdadzungira%2B-%2BHead%252C%2BPBB.jpg)
Hatua hiyo ni sehemu ya mikakati endelevu yenye lengo la kuwawezesha wateja wa benki hiyo...
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Magese apeta BET
9 years ago
Habarileo17 Aug
Manji akatwa, Fella apeta
MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameenguliwa kuwania kugombea nafasi ya udiwani kata ya Mbagala Kuu huku msimamizi wa kazi za wasanii Saidi Fella akipitishwa.
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
Nyalandu apeta kura za maoni CCM
Mgombea ubunge jimbo la Singida kaskazini CCM, Lazaro Samwel Nyalandu, akiwashukru baadhi ya wapiga wake kwa kumpa kura za kutosha.Nyuma ni mke wake Faraja Kotta.
Mgombea ubunge jimbo la Singida kaskazini kupitia CCM, Lazaro Samwel Nyalandu,akibebwa juu juu na wapiga kura na mashabiki wake kwenye viwanja vya CCM mkoa.
Lazaro Samwel...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75991000/jpg/_75991620_75982761.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCt29U2YGZojNglH0HTV9QhZSpaIX412LZ9HN0GUUKCg3TI9g6l4TiU1W*NOviwKgqzzoXwYVoG29ZIgq6FMctIV/bbaidris.jpg?width=650)
SAMANTHA WA BBA KUTUA DAR