SAMANTHA WA BBA KUTUA DAR
![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCt29U2YGZojNglH0HTV9QhZSpaIX412LZ9HN0GUUKCg3TI9g6l4TiU1W*NOviwKgqzzoXwYVoG29ZIgq6FMctIV/bbaidris.jpg?width=650)
Mshiriki wa BBA kutoka Afrika Kusini, Samantha. SAMANTHA KUTUA DAR: Mshiriki wa BBA kutoka Afrika Kusini, Samantha leo anatarajiwa kutua nchini kuungana na mshindi wa Mil. 514 za shindano hilo, Idris Sultan!
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen19 Dec
SEEN&HEARD: Idris and Samantha are the toast of Dar
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Idris awakwepa washiriki BBA Dar
NA THERESIA GASPER
MSHIRIKI wa Big Brother Afrika ‘BBA’ Hot Shot 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Munana, amemwagia sifa aliyekuwa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu kuwa ni mwenye mvuto wa kipekee.
Lakini licha ya kutoa sifa hizo, mshiriki mwenzao ambaye ndiye mwenyeji wao, Idris Sultan, hakutokea katika sherehe hiyo jambo lililozua minong’ono kwa watu baada ya tetesi kwamba ana ugomvi na Wema Sepetu.
Wema alimwagiwa sifa hizo alipokuwa katika sherehe za Instagram Party katika viwanja vya...
10 years ago
GPLMSHINDI WA BBA HOTSHOTS APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI DAR
9 years ago
Habarileo11 Nov
Algeria kutua kesho Dar
WAKATI timu yaTaifa ya Algeria ikitarajiwa kuwasili Dar es Salaam kesho kwa mchezo dhidi ya Taifa Stars, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo huku cha chini kikiwa ni Sh 5,000.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Real Madrid kutua Dar Agosti 22
WARATIBU wa ziara ya mabingwa wa kihistoria wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid ya Hispania, wametangaza rasmi siku ya ujio wa msafara wa nyota 25 na mashabiki...
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Shepolopolo kutua Dar kuikabili Twiga
11 years ago
GPLTambwe, Kaze kutua Dar kesho
10 years ago
Habarileo02 Jan
Mtaalamu wa mifupa kutoka India kutua Dar
MTAALAMU wa viungo na mifupa kutoka India Dk Shrirang Deodhar anatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumamosi kwa ajili ya kuwafanyia uchunguzi na matibabu watu wanaosumbuliwa na maradhi hayo.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Wapinzani wa Yanga na Azam kutua Dar es salaam leo