Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bella kutoka kimapenzi Valentine Day

bellaggNA MWANDISHI WETU
MFALME wa Masauti Bongo, Christian Bella ‘Obama’, yupo mbioni kuachia wimbo mpya wa mapenzi ambao utazinduliwa rasmi siku ya wapendanao ‘Valentine Day’ kwenye Ukumbi wa Dar Live.

Akizungumza na gazeti hili, Bella ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), alisema ameamua kutoka kivingine baada ya kutoa wimbo wa Nani Kama Mama na kufanya vizuri katika soko la muziki wa dansi.

“Nilifurahishwa na mapokezi ya wimbo wangu wa Nani Kama Mama pamoja na nyimbo nyingine...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UTAMU WA BELLA VALENTINEÍS DAY KESHO HUU HAPA!

HATIMAYE ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapendanao wote ‘Valentine’s Day’ imefika ambapo kesho ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar kutafuka moshi wa burudani kutoka kwa wakali wa mapenzi, Christian Bella ‘Obama’ pamoja na Mfalme Mzee Yusuf. Bella akitoa vionjo vya wimbo wa 'NANI KAMA… ...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA AACHA HISTORIA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella akiimba na mashabiki wimbo wa Usilie. Bella akiwakonga mashabiki jukwaani.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Christian Bella ‘King of the Best melodies’ aahidi makubwa shoo ya Valentine’s Day, Dar Live

CHRISTIANBELLA1

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live.

Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).

Christian Bella (kulia) akiwapa vionjo vya wimbo wake mpya wa ‘NASHINDWA’ wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni mmoja wa viongozi wa Malaika Band, X-Bass Babu Bomba.

Bella akitoa vionjo vya wimbo wa ‘NANI KAMA MAMA’ kwa wanahabari.

Bella akiwa na Mhariri wa Gazeti la Risasi...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

GPL

NJOO USHUHUDIE NYIMBO TAMU ZA KIMAHABA NA ZAWADI KEM KEM SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY) NA LIVE MUSIC KUTOKA SKYLIGHT BAND IJUMAA HII‏

Hii ni moja ya Live Performance ya Wimbo wa John Legenda wa All on Me ulioimbwa na Sam Mapenzi wa Skylight Band. Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo akiimba kibao cha John Legend kinachobamba duniani kote kinachofahamika kama "All on Me" kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Umejiandaaje na Valentine’s day?

URAFIKI na Mahusiano ndio jina la safu hii mpenzi msomaji. Ni matumaini yangu umzima na unaendelea vema kukabiliana na shughuli mbambali za ujenzi wa taifa hili. Nami bila hajizi nakukaribisha...

 

9 years ago

Mtanzania

Chipukizi Ronki kutoka kimapenzi

NA SHARIFA MMASI

CHIPUKIZI kwenye muziki wa Bongo Fleva, Ramadhan Jafar ‘Ronki’, yupo mbioni kutoka na wimbo wake wa kwanza wa kimapenzi alioupa jina ‘Mapenzi Siri’.

“Nimeingia kwenye familia ya muziki wa bongo fleva nikiwa nafahamu ushindani wa hali ya juu uliopo kwenye muziki wa sasa, lakini kipaji changu ndicho kinachonipa jeuri ya kuja kufanya vizuri siku zijazo,’’ alisema chipukizi huyo.

“Tayari nimeachia wimbo wa kwanza tangu nijikite kwenye muziki na ninamshukuru Mungu unaendelea...

 

10 years ago

TheCitizen

THE PUB: It’s Valentine’s Day, where’s your beloved?

>As you read this, it’s St Valentine’s Day. Siku ya   Wapendanao, we call it in our good old Kiswahili. No big deal, if you ask Wa Muyanza and his village oriented ilk. But then, let’s admit it, the Valentine’s Day is okay, because it gives the fun-loving Wabongo the excuse to spoil a beloved one, doesn’t it?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani