Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Belle 9: Siogopi wanasiasa

BelleNA CHRISTOPHER MSEKENA

MKALI wa RnB asiye na tuzo, Abelnego Damian ‘Belle 9’, ameweka wazi kwamba kujiamini ndiko kulikomfanya atoe video mpya ya wimbo wake wa ‘Shauri Zao’ licha ya pilika nyingi za kuelekea uchaguzi wa Oktoba 25.

Belle 9 alisema wengi walidhani ataogopa kuachia video hiyo mpya kwa hofu ya kukosa mashabiki kutokana na mchakato na mvutano mkubwa wa mashabiki wa muziki kuwa katika masuala ya siasa.

“Mimi siogopi wanasiasa, unajua watu wengi wanasahau kwamba kuna muda watu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mkwele Orijino: Siogopi Kurogwa

Mchekeshaji mahiri katika tasnia ya filamu hapa Bongo  Hemed Maliyaga ‘Mkwere Orijino’ amesema kuwa anaposema ukweli haogopi kurogwa kwa sababu anaamini anachokisema ni kwa ajili ya kuweka sawa kama ni rafiki au mwigizaji mwenzake akienda tofauti.

“Mimi nasema tu, siogopi kurogwa bwana utaniroga wewe mimi narogwa na watanzania wengi ninaowafurahisha kila siku, nasema wasanii tubadilike katika kujitenga katika matukio kama maradhi, misiba na sherehe tushirikiane tupendane,”anasema...

 

9 years ago

Bongo Movies

Siogopi Kurogwa- Mkwere Original

MCHEKESHAJI mahiri katika tasnia ya filamu Hemed Maliyaga ‘Mkwere Orijino’ amesema kuwa anaposema ukweli haogopi kurogwa kwa sababu anaamini anachokisema ni kwa ajili ya kuweka sawa kama ni rafiki au mwigizaji mwenzake akienda tofauti.

“Mimi nasema tu, siogopi kurogwa bwana utaniroga wewe mimi narogwa na watanzania wengi ninaowafurahisha kila siku, nasema wasanii tubadilike katika kujitenga katika matukio kama maradhi, misiba na sherehe tushirikiane tupendane,”anasema Mkwere.

Mkwere...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima:Siogopi mtu wala kufa

IMG_2845Na Asifiwe George,Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona haiendi sawa.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana,wakati wa mahubiri yaliyofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe.
Alisema uhusiano wake na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa utaendelea kubaki palepele.
Kwa mujibu Askofu Gwajima, baadhi ya watu wamekuwa wakimhusisha kuwa na urafiki na Waziri Mkuu wa zamani, Edward...

 

11 years ago

Mwananchi

Pamela Maasay: Siogopi kuvuliwa wadhifa huu

Siku chache baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba (Ukawa) kutoka bungeni, Pamela Maasay amesema hana hofu ya kufukuzwa ujumbe wa Bunge hilo kwa sababu ya kutetea kazi iliyompeleka bungeni.

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwoya: Siogopi Maneno, Ila Mwacheni Mwanangu

Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.

Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka nizaliwe hajawahi kuninunulia ata pipiii!!!

Sasa ni hivi kusemwa mimi siogopi na matus pia siogopi kabisa coz...

 

10 years ago

BBCSwahili

"Siogopi kibarua kuota nyasi": Kocha wa Yanga

Kuna msemo ” Makocha wana ajiriwa ili wafukuzwe na usemi huo umejidhihirisha katika ligi maarufu barani Ulaya, Afrika na kwingineko.

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

New Video: Edu Boy Ft Belle 9 — Yes or No

Video mpya kutoka kwa rapper Edu boy akimshirikisha Belle 9 wimbo unaitwa “Yes or No” video imeongozwa na Nick Dizzo

 

9 years ago

Bongo5

Music: Belle 9 – Kupenda

InstaShot_20151203_222912

Huu ni wimbo kutoka kwa msanii Belle 9 unaitwa “Kupenda”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani