Uwoya: Siogopi Maneno, Ila Mwacheni Mwanangu
Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.
Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka nizaliwe hajawahi kuninunulia ata pipiii!!!
Sasa ni hivi kusemwa mimi siogopi na matus pia siogopi kabisa coz...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Maneno ya Uwoya Akila ‘Kande’ Kwa Bibi ya Changamsha Genge!
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Irene Uwoya leo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM ameabandika picha akiwa anakula MAKANDE na kuandika kuwa hicho ndio chakula anachokipenda kuliko vyote, kitu ambacho baadhi ya watu walipinga na kusema mrembo huyo ameFEKI kusema hivyo.
“Namshukuru MUNGU kwakunipa BIBI anae nipendaaa asante sanaaa bib yangu kipenz kwa chakula kitamu nachokipenda kuliko vyote”-Uwoya aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.
Mvutano kati ya wale amabo...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Maneno ya Uwoya Akila ‘Kande’ Kwa Bibi ya Changamsha Gege!
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Irene Uwoya leo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM ameabandika picha akiwa anakula MAKANDE na kuandika kuwa hicho ndio chakula anachokipenda kuliko vyote, kitu ambacho baadhi ya watu walipinga na kusema mrembo huyo ameFEKI kusema hivyo.
“Namshukuru MUNGU kwakunipa BIBI anae nipendaaa asante sanaaa bib yangu kipenz kwa chakula kitamu nachokipenda kuliko vyote”-Uwoya aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.
Mvutano kati ya wale amabo...
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Irene Uwoya Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa
“Minashindwa kuwaelewa watu ni kwanini mnapenda sana kutaka kutoa kibanz kwenye jicho la mtu wakat kipande chamti kiko kwenye jicho lako.....nimeumia sana na maneno ya wema,mtoto anapanga MUNGU sio binadamu .....Embu mwachen mtoto wa watu sasa awenaaamani kila siku mnamsema yeye mmnazan anachuma nin Ana moyo,afu kunawatu wanapenda sana kudandia mambo ........mmedandia weweee mme mtukana mtoto wawatu minaomba niwape namba ya MUNGU mumulize yeye kwanin na mumuache mtoto wa watu!sipendag...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.
10 years ago
Habarileo24 Sep
'Maneno maneno' yamkera Waziri
WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amekerwa na kauli ya kuwa Bahi hawautaki mradi wa maji wa bwawa la Farkwa na kutaka maoni ya watu wachache yasiwe sababu za kukwamisha mradi huo.
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Ancelotti: Mwacheni, Khedira hauzwi
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Belle 9: Siogopi wanasiasa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa RnB asiye na tuzo, Abelnego Damian ‘Belle 9’, ameweka wazi kwamba kujiamini ndiko kulikomfanya atoe video mpya ya wimbo wake wa ‘Shauri Zao’ licha ya pilika nyingi za kuelekea uchaguzi wa Oktoba 25.
Belle 9 alisema wengi walidhani ataogopa kuachia video hiyo mpya kwa hofu ya kukosa mashabiki kutokana na mchakato na mvutano mkubwa wa mashabiki wa muziki kuwa katika masuala ya siasa.
“Mimi siogopi wanasiasa, unajua watu wengi wanasahau kwamba kuna muda watu...
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXGq2McutSIVlCr-xTRa3cvqE05Fzfwj2iKJoM0d*vPNjJ7hThO8lyai5gPdndQrxlokn5BVrTzLh5XJo0Johnx4/rose.jpg)
MALICK: MWACHENI ROSE NDAUKA AJIRUSHE