Siogopi Kurogwa- Mkwere Original
MCHEKESHAJI mahiri katika tasnia ya filamu Hemed Maliyaga ‘Mkwere Orijino’ amesema kuwa anaposema ukweli haogopi kurogwa kwa sababu anaamini anachokisema ni kwa ajili ya kuweka sawa kama ni rafiki au mwigizaji mwenzake akienda tofauti.
“Mimi nasema tu, siogopi kurogwa bwana utaniroga wewe mimi narogwa na watanzania wengi ninaowafurahisha kila siku, nasema wasanii tubadilike katika kujitenga katika matukio kama maradhi, misiba na sherehe tushirikiane tupendane,”anasema Mkwere.
Mkwere...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Mkwele Orijino: Siogopi Kurogwa
Mchekeshaji mahiri katika tasnia ya filamu hapa Bongo Hemed Maliyaga ‘Mkwere Orijino’ amesema kuwa anaposema ukweli haogopi kurogwa kwa sababu anaamini anachokisema ni kwa ajili ya kuweka sawa kama ni rafiki au mwigizaji mwenzake akienda tofauti.
“Mimi nasema tu, siogopi kurogwa bwana utaniroga wewe mimi narogwa na watanzania wengi ninaowafurahisha kila siku, nasema wasanii tubadilike katika kujitenga katika matukio kama maradhi, misiba na sherehe tushirikiane tupendane,”anasema...
10 years ago
GPLMKWERE APATA MTOTO WA KIKE
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Mkwere ateuliwa Balozi ‘Tupe Jina’
MUIGIZAJI wa vichekesho kutoka kundi la Mizengwe, Hemed Khalida ‘Mkwere’, ameula baada ya kuchaguliwa kuwa balozi wa kuhamasisha upatikanaji wa jina la Kampuni ya Simu iliyozinduliwa bila jina. Kampeni hiyo...
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Mkwere: Nikiwa nyumbani ni baba, mshauri, mume
10 years ago
Vijimambo12 Apr
LULU MICHAEL Agoma kumtaja BABA wa Mimba yake ...Kisa Kuogopa KUROGWA
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Belle 9: Siogopi wanasiasa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa RnB asiye na tuzo, Abelnego Damian ‘Belle 9’, ameweka wazi kwamba kujiamini ndiko kulikomfanya atoe video mpya ya wimbo wake wa ‘Shauri Zao’ licha ya pilika nyingi za kuelekea uchaguzi wa Oktoba 25.
Belle 9 alisema wengi walidhani ataogopa kuachia video hiyo mpya kwa hofu ya kukosa mashabiki kutokana na mchakato na mvutano mkubwa wa mashabiki wa muziki kuwa katika masuala ya siasa.
“Mimi siogopi wanasiasa, unajua watu wengi wanasahau kwamba kuna muda watu...
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Gwajima:Siogopi mtu wala kufa
Na Asifiwe George,Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona haiendi sawa.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana,wakati wa mahubiri yaliyofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe.
Alisema uhusiano wake na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa utaendelea kubaki palepele.
Kwa mujibu Askofu Gwajima, baadhi ya watu wamekuwa wakimhusisha kuwa na urafiki na Waziri Mkuu wa zamani, Edward...
10 years ago
Bongo Movies15 May
Uwoya: Siogopi Maneno, Ila Mwacheni Mwanangu
Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.
Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka nizaliwe hajawahi kuninunulia ata pipiii!!!
Sasa ni hivi kusemwa mimi siogopi na matus pia siogopi kabisa coz...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Pamela Maasay: Siogopi kuvuliwa wadhifa huu