Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BEN POL ametuletea zawadi hii nyingine “ALL OF ME / DRUNK IN LOVE”

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

10 years ago

CloudsFM

Ben Pol kuzindua video ya Sophia Jumapili hii

Mkali wa Bongo Fleva,Ben Pol anatarajia kuzindua video ya ngoma yake ya Sophia Jumapili hii pande za Maisha Club,jijini Dar.Video hiyo imefanyika mkoani Dodoma chini ya producer Khalfan imeshakamilika kwa kiasi kikubwa.
‘’Video itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye big screens na kutakuwa na perfomances kutoka kwa wasanii mbalimbali uwapendao,’’alisema Ben Pol.

 

9 years ago

Global Publishers

Ben Pol aanza mwaka na Ben Pol

benpol2Ben Pol.

Khadija Mngwai, Dar es Salaam
MWANAMUZIKI wa muziki wa Kizazi kipya ‘Bongo Fleva, Benard Paul (Ben Pol) amefunguka kwa kusema kuwa anauanza mwaka wa 2016 kwa kutoa albamu yake iliyobeba nyimbo 13, mwanzoni mwa mwezi wa pili.

Akizungumza na Championi Jumatano, Pol amesema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakiuchukulia muziki huo ni wa kawaida tu kwa kuhitaji kujiingizia kipato na siyo kuwa ‘serious’ na matokeo yake wanaishia kutoa nyimbo moja au mbili ili kupata shoo.

BEN-POL-1“Nimejipanga kuweka...

 

10 years ago

Bongo5

Kili Music Tour: AY, FA, Profesa J, Vanessa, Ben Pol, Weusi kushusha burudani Jumamosi hii*

Baada ya kuzunguka kaskazini, kusini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na nyanda za juu kusini Jumamosi hii burudani ya Kili Music Tour inamalizikia Leaders Club jijini Dar es Salaam. Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Christian Bella, Khadija Kopa, Jambo Squad, Ben Pol, Profesa Jay, Rich Mavoko, Vanessa Mdee, Ommy Dimpoz, MwanaFA, Weusi na Mashujaa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani