Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ben Pol: Mkali anayeota kufanya kazi na P Square

MALENGO ni kitu muhimu kwa kila mtu, hususani anapokuwa anamaliza mwaka na kuingia mwaka mpya. Iko hivyo kwa wanamichezo, wasanii, wanasiasa, wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wajasiriamali na jamii kwa ujumla. Gazeti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

9 years ago

Global Publishers

Mc Pilipili,Ben Pol kufanya maajabu Boxing Day

Anq4-e6Ri6vWuocVw3rpsx1SJPa_wk6ml5PksCFOG080MC Pilipili akiwa na Ben Pol.

MWANDISHI WETU
MCHEKESHAJI maarufu Bongo, MC Pilipili anatarajia kufanya shoo baab’kubwa ya kuchekesha siku ya Boxing Day, Desemba 26, mwaka huu mjini Dodoma itakayofahamika kwa jina la Night Stand Up Comedy.

Akiizungumzia ‘event’ hiyo, MC Pilipili alisema kupitia kampuni yake ya Pilipili Events, watafanya shoo kubwa ya kuchekesha ambayo haijawahi kutokea Bongo hivyo mashabiki wa komedi na wapenda burudani kwa jumla, wafike kwa wingi siku hiyo katika Ukumbi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol alipanga kufanya video mbili na Justin Compos, SA

11925676_463374680501587_1567968702_n

Bep Pol amesema baada ya kumaliza salama kushoot video ya wimbo wake Ningefanyaje na Justin Campos nchini Afrika Kusini alikuwa na mpango wa kufanya video ya pili.

11925676_463374680501587_1567968702_n

Akizungumza na Bongo5 leo, Ben Pol amesema video nyingine ilikuwa ni kwaajili ya wimbo wake na Nameless.

“Tulitakiwa ku-shoot video mbili lakini kuna mambo yameingiliana, ni kwa ajili ya ule wimbo ambao nimefanya na Nameless, sema yeye amekuwa busy na show za nje so tutapanga tena,” amesema Ben Pol.

Jiunge na Bongo5.com...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol kuelekea Afrika Kusini kufanya video ya ‘Ningefanyaje’ na Justin Campos

Mwimbaji wa R&B, Ben Pol amesema anatarajia kwenye nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake ‘Ningefanyaje’ na muongozaji Justin Campos. Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa, ameamua kuwekeza zaidi kwenye muziki wake ili apate mafanikio makubwa. “Video na-shoot kuanzia tarehe 20 na director Justin Campos South Africa,” alisema Ben Pol. “Kuna sababu kama tatu au […]

 

9 years ago

Global Publishers

Ben Pol aanza mwaka na Ben Pol

benpol2Ben Pol.

Khadija Mngwai, Dar es Salaam
MWANAMUZIKI wa muziki wa Kizazi kipya ‘Bongo Fleva, Benard Paul (Ben Pol) amefunguka kwa kusema kuwa anauanza mwaka wa 2016 kwa kutoa albamu yake iliyobeba nyimbo 13, mwanzoni mwa mwezi wa pili.

Akizungumza na Championi Jumatano, Pol amesema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakiuchukulia muziki huo ni wa kawaida tu kwa kuhitaji kujiingizia kipato na siyo kuwa ‘serious’ na matokeo yake wanaishia kutoa nyimbo moja au mbili ili kupata shoo.

BEN-POL-1“Nimejipanga kuweka...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

New Music: Ben Pol — Twaendana

Muimbaji wa R&B, Ben Pol ameachia wimbo wake mpya ‘Twaendana’ uliotayarishwa na producer wa Arusha, DX. Usikilize hapa.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani