‘Bendera ya Muungano ni mali ya Zanzibar’
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameambiwa kwamba bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya sehemu mbili za Muungano, na inapepea Ofisi za Umoja wa Mataifa kwa ridhaa ya Zanzibar.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Bendera za ASP zazua taharuki Zanzibar
>Chama cha CUF kimesema hakihusiki na bendera za Afro Shiraz Party(ASP) zinazoonekana katika mikutano yake ya hadhara inayofanyika Unguja na Pemba.
11 years ago
Mwananchi04 Jun
KUTOKA ZANZIBAR: Yako wapi mapato ya Zanzibar katika Muungano?
>Tumesikia matamshi ya mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CCM, Ally Mohammed Keissy alipochangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisema Zanzibar haichangii katika Muungano, hivyo haina haki ya kuhoji mambo ya upande wa pili.
10 years ago
Mwananchi22 Feb
CUF yatoa vifaa, yapeperusha bendera ya Afro Shiraz Zanzibar
>Chama cha Wananchi (CUF) jana kilionyesha jinsi kilivyojiandaa kwa “mwaka wa uamuzi†wakati kilipogawa vifaa mbalimbali vya kusimamia kuwezesha wanachama wake kusimamia Uchaguzi Mkuu katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja.
10 years ago
Mwananchi22 Feb
Ukawa watikisa: CUF yatoa vifaa, yapeperusha bendera ya Afro Shiraz Zanzibar
>Chama cha Wananchi (CUF) jana kilionyesha jinsi kilivyojiandaa kwa “mwaka wa uamuzi†wakati kilipogawa vifaa mbalimbali vya kusimamia kuwezesha wanachama wake kusimamia Uchaguzi Mkuu katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s72-c/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.
![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s640/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/f4aaa3cf-e447-42d0-abfa-d6e575f60f00.jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO SAMIA SULUHU HASSAN ATOA WITO WA KUTUNZA MALI ASILI NA MAZINGIRA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kutunza mali asili na mazingira kwa sababu ni urithi kwa vizazi vijavyo. Aliongea hayo alipokuwa akifungua mkutano wa Wadau unaohusiana na Azimio la Gaborone jijini Dar es Salaam. Aliongeza kuwa idadi ya watu duniani inazidi kuongezeka hivyo basi ni jukumu la kila mmoja kuacha kukata miti hovyo, kuacha kuchoma misitu na vitu vyote vinavyosababisha uharibifu wa mazingira kwa sababu upo...
11 years ago
Habarileo13 May
Mapato ya Muungano Zanzibar hadharani
FEDHA zinazopelekwa Zanzibar kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kibajeti, kiuchumi na kijamii, zimewekwa wazi ambapo miongoni mwake zipo zinazotokana na Malipo ya Kodi ya Mishahara (Paye).
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Zanzibar ndani ya Tanganyika au muungano?
Nianze kwa kunukuu tangazo nililokuta Bagamoyo, nilipokwenda katika shughuli zangu za kutoa ushauri kuhusu maendelezo bora ya ardhi eneo la makurunge ili kunogesha mjadala katika makala yangu leo ubaoni.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania