Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bendera za ASP zazua taharuki Zanzibar

>Chama cha CUF kimesema hakihusiki na bendera za Afro Shiraz Party(ASP) zinazoonekana katika mikutano yake ya hadhara inayofanyika Unguja na Pemba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Daladala zazua taharuki Mwanza

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa MulongoWAKAZI wa jiji la Mwanza jana wamekumbana na taharuki baada ya barabara ya Nyerere kushindwa kupitika kufuatia madereva wa daladala yanayofanya safari zake kati ya Airport, Bwiru – Igoma/Kishiri kuegesha kwenye barabara hiyo hivyo kusababisha msongamano wa magari.

 

9 years ago

Mtanzania

Tuhuma za Nagu kuiba kura zazua taharuki

Dr.MaryNaguNA MWANDISHI WETU.

TAARIFA ambazo zimetajwa kuwa ni za kizushi dhidi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Uhusiano, Dk. Mary Nagu kwamba amekamatwa na masanduku kumi yakiwa kura zilizokwisha pigwa zimezua taharuki katika jamii.

Habari hiyo ya Nagu, iliyoanza kusambaa kwa kasi jana jioni kupitia mitandao ya kijamii muda mfupi kabla ya gazeti hili halijakwenda mitamboni iliibua mshtuko na mshangao kwa jamii hususani watu wanaofuatilia mwenendo wa Uchaguzi Mkuu kwa ukaribu.

Gazeti hili...

 

10 years ago

Mwananchi

Bendera za Uamsho zazua mambo Z’bar

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa ametoa muda wa wiki moja bendera zote alizoziita kuwa ni za ‘ajabu ajabu’ ziwe zimeteremshwa, ikiwamo ya Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki) mkoani humo.

 

10 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR YAOMBOLEZA KIFO CHA MWASISI WA ASP MAREHEMU MAKAME MZEE SULEIMAN

Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamepokea kwa mshituko, huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar marehemu Makame Mzee Suleiman, kilichotokea usiku wa tarehe  16 Januari, 2015, nyumbani kwake Amani, Unguja.
Marehemu Makame Mzee Suleiman, alizaliwa tarehe 14 Aprili, 1926, katika Kijiji cha Mitakawani, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Alipata Elimu ya Msingi katika Skuli ya  Uzini mwaka 1936. Aidha,...

 

11 years ago

Habarileo

‘Bendera ya Muungano ni mali ya Zanzibar’

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameambiwa kwamba bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya sehemu mbili za Muungano, na inapepea Ofisi za Umoja wa Mataifa kwa ridhaa ya Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yatoa vifaa, yapeperusha bendera ya Afro Shiraz Zanzibar

>Chama cha Wananchi (CUF) jana  kilionyesha jinsi kilivyojiandaa kwa “mwaka wa uamuzi” wakati kilipogawa vifaa mbalimbali vya kusimamia kuwezesha wanachama wake kusimamia Uchaguzi Mkuu katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa watikisa: CUF yatoa vifaa, yapeperusha bendera ya Afro Shiraz Zanzibar

>Chama cha Wananchi (CUF) jana  kilionyesha jinsi kilivyojiandaa kwa “mwaka wa uamuzi” wakati kilipogawa vifaa mbalimbali vya kusimamia kuwezesha wanachama wake kusimamia Uchaguzi Mkuu katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja.

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri watumie uzoefu wa ASP

AKINAMAMA wa CCM pamoja na jumuiya zake wametakiwa kutumia uzoefu wa wenzao wa Chama cha Afro Shirazi Party (ASP), ambao walipata mafanikio makubwa na kuendesha miradi yao kwa faida.

 

5 years ago

Michuzi

ASP. Mboje ateuliwa kuwa Mkuu wa Gereza Rombo, Kilimanjaro

Ofisa Habari Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, ASP. Lucas Mboje ameteuliwa hivi karibuni na Kamishna Jenerali wa Magereza kuwa Mkuu wa  Gereza Rombo lililopo Mkoani Kilimanjaro ambapo ameahidi kwenda kusimamia utekelezaji wa Agenda ya Mabadiliko ndani ya Jeshi hilo pamoja na suala zima la kujitegemea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani