ASP. Mboje ateuliwa kuwa Mkuu wa Gereza Rombo, Kilimanjaro

Ofisa Habari Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, ASP. Lucas Mboje ameteuliwa hivi karibuni na Kamishna Jenerali wa Magereza kuwa Mkuu wa Gereza Rombo lililopo Mkoani Kilimanjaro ambapo ameahidi kwenda kusimamia utekelezaji wa Agenda ya Mabadiliko ndani ya Jeshi hilo pamoja na suala zima la kujitegemea.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Abdallah ‘King’ Kibadeni ateuliwa kuwa kocha wa Kilimanjaro Stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha mkuu wa timu wa Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Star’ atasaidiwa na Juma Mgunda kuelekea katika michuano ya CECAFA Chelenji itakayoanza kutimua vumbi Novemba 21 mjii Addis Ababa, Ethiopia.
Kilimanjaro Stars inashiriki michuano hiyo mikongwe kabisa barani Afrika, ambapo jumla ya nchi 12 wanachama wamedhibitisha kushiriki michuano hiyo itakayomalizika Disemba 6 mwaka huu.
Nchi hizo zinazoshiriki michuano hiyo...
9 years ago
MichuziMkuu wa mkoa wa kilimanjaro akabidhi vifaa vya michezo kwa wafungwa wa gereza la karanga
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla amekabibidhi vifaa vya michezo ikiwemo jezi, mipira,nyavu za magoli na vikombe kwa ajili ya timu ya wafungwa na askari gereza la Karanga Moshi ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa hivi karibuni baada ya kufanya ziara gerezani hapo na kupokea maombi.
Katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu na nusu aliwakumbusha wafungwa na mahabusu kuwa michezo hujenga umoja, michezo ni burudani, michezo ni kwa afya na zaidi...
11 years ago
GPLDK SLAA ATEULIWA TENA KUWA KATIBU MKUU WA CHADEMA
10 years ago
Michuzi18 Oct
Awadh Massawe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TPA
Rais alitangaza uamuzi huo Ijumaa iliyopita wakati wa tukio la kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo inayosemekana kuwa kubwa katika ukanda huu wa Afrika mara itakapomalizika.
Akihutubia wakati wa tukio hilo, Dkt. Kikwete alisema yeye alishamaliza uteuzi huo na kumwambia Bw. Massawe afuatilie tu barua yake rasmi ya...
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Gary Neville ateuliwa kuwa kocha mkuu wa Valencia
Gary Neville.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Beki wa zamani wa Manchester United na kocha wa kikosi cha kwanza cha timu ya taifa Wingereza, Gary Neville ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Valencia inayoshiriki Ligi kuu ya Hispania.
Gary Neville ameteuliwa kocha mkuu kwa mkataba mfupi na ataongoza timu hiyo mpaka mwishoni mwa msimu huu.
Neville amechukua nafasi hiyo baada ya siku chache zilizopita kutimuliwa kazi kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Nuno Santo na sasa Gary Neville atafanya...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Lwakatare ateuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu Mabasi ya DRT
Mabasi yendayo haraka Dar.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene.
TAARIFA KWA UMMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007,...
11 years ago
Bongo511 Sep
Mtanzania ateuliwa kuwa makamu mkuu wa rais wa BET Networks
10 years ago
GPL
MWANAMKE MWEUSI ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU NCHINI MAREKANI
9 years ago
Habarileo19 Nov
BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.