Tuhuma za Nagu kuiba kura zazua taharuki
NA MWANDISHI WETU.
TAARIFA ambazo zimetajwa kuwa ni za kizushi dhidi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Uhusiano, Dk. Mary Nagu kwamba amekamatwa na masanduku kumi yakiwa kura zilizokwisha pigwa zimezua taharuki katika jamii.
Habari hiyo ya Nagu, iliyoanza kusambaa kwa kasi jana jioni kupitia mitandao ya kijamii muda mfupi kabla ya gazeti hili halijakwenda mitamboni iliibua mshtuko na mshangao kwa jamii hususani watu wanaofuatilia mwenendo wa Uchaguzi Mkuu kwa ukaribu.
Gazeti hili...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Jan
Daladala zazua taharuki Mwanza
WAKAZI wa jiji la Mwanza jana wamekumbana na taharuki baada ya barabara ya Nyerere kushindwa kupitika kufuatia madereva wa daladala yanayofanya safari zake kati ya Airport, Bwiru – Igoma/Kishiri kuegesha kwenye barabara hiyo hivyo kusababisha msongamano wa magari.
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Bendera za ASP zazua taharuki Zanzibar
11 years ago
Habarileo15 Jul
Wanaswa kwa tuhuma ya kuiba maji ya Dawasa
WAKAZI watatu wa Dar es Salaam jana walikamatwa na polisi kwa tuhuma ya kujiunganishia maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kinyume cha sheria.
11 years ago
Habarileo06 Jan
Kijana auawa kwa tuhuma ya kuiba kuku 4
KIJANA mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa Kijiji cha Isagala, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, ameuawa na watu waliojichukulia sheria mkononi wakimtuhumu kuiba kuku wanne.
11 years ago
Habarileo27 May
Mtoto achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba 2,600/-
MWANAFUNZI wa darasa la pili, Shule ya Msingi ya Wailesi mjini Lindi (jina linahifadhiwa) ameunguzwa moto sehemu ya mikono yake baada ya kufungwa kamba na mama yake mzazi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yUd8Z-2S0kY/XpiKOd3L7NI/AAAAAAALnNI/INg7LH56-T0fMJ6gdqUuhgZ4IkuYqY4GQCLcBGAsYHQ/s72-c/Mkaa.jpg)
Njombe:Anusurika kuuawa kwa tuhuma za kuiba gunia za mkaa
![](https://1.bp.blogspot.com/-yUd8Z-2S0kY/XpiKOd3L7NI/AAAAAAALnNI/INg7LH56-T0fMJ6gdqUuhgZ4IkuYqY4GQCLcBGAsYHQ/s640/Mkaa.jpg)
Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Issa Setti maarufu Mngoni ambaye ni dereva bodaboda kituo cha Lutilage mjini Njombe amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali wa mtaa wa Idundilanga akituhumiwa kuiba gunia mbili za mkaa.
Wakizungumza kwa hisia kali wakazi wa mtaa huo wenye mikasa mingi ya wizi na uporaji akiwemo Joseph Kasiani na Grace Michael wamesema kijana huyo amekuwa na tabia ya wizi na udokozi wa kupindukia kwa kipindi kirefu na kutupiwa lawama na...
10 years ago
Vijimambo10 Aug
Lowassa: CCM hodari wa kuiba kura
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2826456/highRes/1085316/-/maxw/600/-/o1sbuaz/-/lowassa.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na mgombea urais wa muungano wa Ukawa, Edward Lowassa wakiwapungia mkono wananchi waliofurika makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame Kwa ufupiLubuva ataka aeleze jinsi wizi unavyofanyikaMtikisiko mwingine CCM, Mwenyekiti Arusha atimkaBy Nuzulack Dausen na Suzan Mwillo, Mwananchi
Dar es Salaam. Mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameituhumu CCM kuwa ni hodari wa kuiba kura hivyo akawataka wananchi...
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Odinga:'Jeshi lilitumiwa kuiba kura Kenya'
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-apVUKOxd6HA/Vec3APIPqEI/AAAAAAAAHfI/H5O_5A7b8Uw/s72-c/Eyakuze.jpg)
Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%
![](http://1.bp.blogspot.com/-apVUKOxd6HA/Vec3APIPqEI/AAAAAAAAHfI/H5O_5A7b8Uw/s640/Eyakuze.jpg)
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...