Njombe:Anusurika kuuawa kwa tuhuma za kuiba gunia za mkaa
![](https://1.bp.blogspot.com/-yUd8Z-2S0kY/XpiKOd3L7NI/AAAAAAALnNI/INg7LH56-T0fMJ6gdqUuhgZ4IkuYqY4GQCLcBGAsYHQ/s72-c/Mkaa.jpg)
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Issa Setti maarufu Mngoni ambaye ni dereva bodaboda kituo cha Lutilage mjini Njombe amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali wa mtaa wa Idundilanga akituhumiwa kuiba gunia mbili za mkaa.
Wakizungumza kwa hisia kali wakazi wa mtaa huo wenye mikasa mingi ya wizi na uporaji akiwemo Joseph Kasiani na Grace Michael wamesema kijana huyo amekuwa na tabia ya wizi na udokozi wa kupindukia kwa kipindi kirefu na kutupiwa lawama na...
Michuzi