Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: CCM hodari wa kuiba kura



Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na mgombea urais wa muungano wa Ukawa, Edward Lowassa wakiwapungia mkono wananchi waliofurika makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame Kwa ufupiLubuva ataka aeleze jinsi wizi unavyofanyikaMtikisiko mwingine CCM, Mwenyekiti Arusha atimkaBy Nuzulack Dausen na Suzan Mwillo, Mwananchi

Dar es Salaam. Mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameituhumu CCM kuwa ni hodari wa kuiba kura hivyo akawataka wananchi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Lowassa awaombea kura wabunge, madiwani wa CCM

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa, amejikuta akiombea kura wabunge na madiwani waliosimamishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Mtanzania

Tuhuma za Nagu kuiba kura zazua taharuki

Dr.MaryNaguNA MWANDISHI WETU.

TAARIFA ambazo zimetajwa kuwa ni za kizushi dhidi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Uhusiano, Dk. Mary Nagu kwamba amekamatwa na masanduku kumi yakiwa kura zilizokwisha pigwa zimezua taharuki katika jamii.

Habari hiyo ya Nagu, iliyoanza kusambaa kwa kasi jana jioni kupitia mitandao ya kijamii muda mfupi kabla ya gazeti hili halijakwenda mitamboni iliibua mshtuko na mshangao kwa jamii hususani watu wanaofuatilia mwenendo wa Uchaguzi Mkuu kwa ukaribu.

Gazeti hili...

 

11 years ago

BBCSwahili

Odinga:'Jeshi lilitumiwa kuiba kura Kenya'

Tume ya uchaguzi nchini Kenya imemtaka waziri mkuu wa zamani Raila Odinga kuomba radhi kwa matamashi yake kuwa jeshi lilitumiwa kuiba kura 2013

 

9 years ago

Raia Mwema

Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura

Hatimaye uchaguzi umemalizika!

Kitila Mkumbo

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?

Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]

The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai baada ya kujiunga na Chadema hivi karibuni. Kushoto ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga. Picha ya Maktaba
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA


Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400 wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama hicho.

Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi hao pamoja na wengine wa CCM katika kata sita waliokatwa majina yao katika zoezi la kura za maoni kwa tiketi ya CCM wamesema  wameamua kujiunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani