Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki Mtaani Kwako yawasogelea wajasiriamali

USHIRIKI  na kuwajumuisha watu wengi zaidi katika utumiaji wa huduma za kifedha ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi kwa lengo la kuboresha ustawi wa watu binafsi, kaya na shughuli za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BENKI YA COVENANT YAZINDUA HUDUMA YA BENKI MTAANI KWAKO

Mwenyekiti wa Bodi wa benki ya Covenant Balozi.Salome Sijaona(katikati)akibonyeza kitufe cha kopyuta kuashiaria uzinduzi rasmi wa huduma ya” benki mtaani kwako” ambayo inawawezesha wananchi na wateja wa benki hiyo kutumia simu zao za kiganjani kupata huduma za kibenki ikiwemo kuweka na kutoa fedha katika akaunti zao.Anaeshuhudia kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Bi.Sabetha Mwambenja pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua ’Hamia Kwako’ ni huduma ya mikopo ya nyumba

  Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Edward Marks wakionyesha mfano wa funguo kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma ya mikopo ya nyumba iliyopewa jina ya ‘Hamia Kwako’ ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Edward Marks (wa pili kushoto), akibadishana mawazo na Ofisa Fedha Mkuu wa Shirika la Mikopo ya Nyumba la Tanzania Mortgage Refinance...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA COVENANT YATOA MAABASI NA BAJAJI KWA WAJASIRIAMALI

Mwenyekiti wa  Benki ya  Covenant  Balozi Salome Sijaona  akimkabidhi  mratibu wa uhamasishaji wa vikundi vya Wilaya ya Temeke Bi.Tukae Kondo ufunguo wa pikipiki baada ya kuwapatia mikopo wajasiliamali mbalimbali.Benki hiyo kwa kushirikiana na umoja wa wafanyakazi wasio katika sekta rasmi imewawezesha wajasiriamali wadogo nchini kwa kuwapatia mikopo na mitaji. Hafla hiyo imefanyika makao makuu ya benki hiyo jijini...

 

9 years ago

Michuzi

NEEC yawadhamini wajasiriamali 185 milioni 244.5 Benki ya posta

Benki ya Posta Tanzania imetoa mikopo ya jumla ya million 244,500,000.00 kwa wajasiriamali 185 kwa ajili ya kukuza shughuli zao na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa. Mikopo hii imedhaminiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)  Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Bi. Anna Dominick, amewambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa wajasiriamali hao 185 ni wanachama wa vicoba vinane.  “Kati yao wanawake 137 sawa na asilimia 74 na wanaume 48 sawa na...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake

Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.

Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.

 Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri mkuu Pinda ahudhuria mkutano wa benki ya dunia,awataka wajasiriamali walioko katika sekta isiyo rasmi kurasimisha biashara zao.

 Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari  nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar

Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).

2

Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.

Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

 Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF) Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiliamali shamimu mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo jokate mwegelo. Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF)kushoto Hadji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani