NEEC yawadhamini wajasiriamali 185 milioni 244.5 Benki ya posta
![](http://4.bp.blogspot.com/-fq7bGbPluSE/Vn-Gte9l_SI/AAAAAAAIO0o/TfhuPvGFMRw/s72-c/438b61b1-5bb7-44c3-b033-163f4f528547.jpg)
Benki ya Posta Tanzania imetoa mikopo ya jumla ya million 244,500,000.00 kwa wajasiriamali 185 kwa ajili ya kukuza shughuli zao na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa. Mikopo hii imedhaminiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Bi. Anna Dominick, amewambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa wajasiriamali hao 185 ni wanachama wa vicoba vinane. “Kati yao wanawake 137 sawa na asilimia 74 na wanaume 48 sawa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--F_LwcAD61c/VaeN2SuHZuI/AAAAAAAHqDg/qkIYALUMzA4/s72-c/0c20eb3d8aL.jpg)
NEEC kutoa dhamana ya mamilioni kwa Benki ya Posta
![](http://3.bp.blogspot.com/--F_LwcAD61c/VaeN2SuHZuI/AAAAAAAHqDg/qkIYALUMzA4/s320/0c20eb3d8aL.jpg)
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) linatarajia kutoa shilingi milioni 700 kwa Benki ya Posta Tanzania kama dhamana ya mikopo itakayotolewa na benki hiyo kwa wajasiriamali hapa nchni.
Mpango huu uko chini ya Mfuko wa Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ulioanzishwa mwaka 2008 ambao pamoja na majukumu mengine unatumika kutoa au kudhamini mikopo yenye masharti nafuu kwa wajasiriamali nchini.
Fedha hizo zitawekwa katika akaunti maalum katika...
10 years ago
Habarileo11 Dec
NEEC, TIB wakubaliana kuwawezesha wajasiriamali
BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), wameingia mkataba wa kuwawezesha kwa mikopo wajasiriamali vijana wanaomaliza vyuo vikuu nchini.
10 years ago
Habarileo30 Jun
Sheria ya Benki ya Posta yapita
BUNGE limepitisha muswada wa sheria ya Benki ya Posta Tanzania wa mwaka 2015, inayolenga kufuta sheria iliyoanzisha benki hiyo na kuweka masharti ya mpito, kuwezesha isajiliwe kuwa kampuni, kama benki nyingine.
11 years ago
Mwananchi13 May
CAG aibua madudu Benki ya Posta
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_psdeeeok0M/U-IOOsEjyzI/AAAAAAAF9ig/Cs2rFfHvTgg/s72-c/unnamed+(48).jpg)
Benki ya Posta yaipiga tafu Taswa SC
![](http://3.bp.blogspot.com/-_psdeeeok0M/U-IOOsEjyzI/AAAAAAAF9ig/Cs2rFfHvTgg/s1600/unnamed+(48).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KWBIUksYAy4/U-IOPi0yG2I/AAAAAAAF9ik/V8tP2G0QEFc/s1600/unnamed+(50).jpg)
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
Benki ya Posta yadhamini klabu ya waandishi, TASWA SC
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto)akikabidhi mfano wa hundi kwa mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary (wa kwanza kulia)ikiwa sehemu ya benki hiyo kusaidia michezo nchini. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa wa benki hiyo, Chichi Hilda Banda.
Na Mwandishi wetu
Benki ya Posta Tanzania (TPB) imeidhamini klabu ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC), kufuatia juhudi zake za kuhamasisha na kuendeleza michezo nchini.
Benki...
10 years ago
Habarileo19 Oct
Benki ya Posta wakabidhi vifaa vya usafi
BENKI ya Posta imekabidhi msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa uongozi wa soko kuu la samaki la Feri.
10 years ago
Dewji Blog14 May
Singida wasogezewa karibu huduma ya Benki ya Posta Tanzania
Mwenyekiti wa Benki ya Posta nchini, Lettice Rutashobya (kulia) akimkabuidhi kadi ya benki Mwenyekiti wa mtaa wa Majengo mjini Singida, Stamili Shomari baada ya kupewa offer na benki hiyo kufungua akaunti.
Na Nathaniel Limu, Singida
BENKI nyingi nchini zimeacha utamaduni wa kuwanufaisha wateja wake kwa kuwapatia riba nzuri, na badala yake zimejikita zaidi katika kuwakata gharama kubwa ya uendeshaji,kitendo kinachochangia Watanzania wengi kuogopa kuhifadhi fedha zao...
10 years ago
VijimamboJanet Mbene apokea madawati kutoka benki ya Posta