BENKI YA DCB YATOA ZAWADI KWA WAFANYAKAZI NA MATAWI YALIYOFANYA VIZURI JULAI HADI DESEMBA 2014
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB,Bw.Edmund Mkwawa akipokea cheti cha kutambulika katika mafunzo ya Ukurugenzi wa benki hiyo. Meneja Masoko wa benki ya DCB,Boyd Mwaisame(kulia) akipokea cheti cha utumishi wa muda mrefu na maendeleo ya benki ya DCB kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala,Mhe.Raymond Mushi. Baadhi ya wadau na wafanyakazi wa benki ya DCB wakiserebuka kwa pamoja katika hafla ya kukabidhi zawadi ya Mwenyekiti wa Bodi ya DCB kwa Tawi lililofanya vizuri kwa mwezi Julai hadi Desemba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziDCB FURSA MPYA YA ELIMU KWA WATANZANIA HADI CHUO KIKUU KUPITIA AKAUNTI ZA DCB SKONGA NA DCB MINI SKONGA.
======= ======== ========
KATIKA kuhakikisha wazazi na walezi wanakuwa na uhakika wa elimu ya watoto wao, Benki ya Biashara ya DCB imeongeza fursa zaidi kupitia akaunti yake DCB SKONGA kwa kuongeza DCB MINI SKONGA Ili kuunga mkono...
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
DCB Benki watambulisha DCB Jirani na DCB Mobile Sabasaba
Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.
Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.
Baadhi ya wananchi wakitembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu...
10 years ago
CloudsFM15 Jan
11 years ago
MichuziLHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NUSU MWAKA KUANZIA JANUARY HADI JUNI 2014
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kuwa hadi kufikia Juni 2014 wanawake na wasichana 2878 wamebakwa nchini kutokana na vitendo vya ukatili dhidi yao.
Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba wakati akitoa taarifa ya kipindi cha nusu mwaka kuanzia Januari na Juni mwaka huu kwa vyombo vya habari Dar es Salaam leo.
"Vitendo hivyo vya kikatili dhidi ya makundi hayo vilivyoripotiwa polisi kwa nchi nzima vilikuwa 3,633"...
11 years ago
GPLMAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014
5 years ago
MichuziWafanyakazi sasa kujiachia na riba hadi asilimia 14 kutoka Benki ya CRDB
===== ===== =====
Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu...
10 years ago
MichuziDCB BENKI WATOA HISA KWA MAKAMPUNI MBALIMBALI
10 years ago
MichuziBENKI YA DCB YAKABIDHI MSAADA WA KOMPYUTA KWA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ARNAUTOGLU
10 years ago
MichuziDCB yatoa msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi