Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coke yatoa zawadi kwa wafanyakazi wa clouds Media #shareacoke

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DCB YATOA ZAWADI KWA WAFANYAKAZI NA MATAWI YALIYOFANYA VIZURI JULAI HADI DESEMBA 2014

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB,Bw.Edmund Mkwawa akipokea cheti cha kutambulika katika mafunzo ya Ukurugenzi wa benki hiyo.  Meneja Masoko wa benki ya DCB,Boyd Mwaisame(kulia) akipokea cheti cha utumishi wa muda mrefu na maendeleo ya benki ya DCB kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala,Mhe.Raymond Mushi. Baadhi ya wadau na wafanyakazi wa benki ya DCB wakiserebuka kwa pamoja katika hafla ya kukabidhi zawadi ya Mwenyekiti wa Bodi ya DCB kwa Tawi lililofanya vizuri kwa mwezi Julai hadi Desemba...

 

10 years ago

CloudsFM

MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI KUTOKA CLOUDS MEDIA GROUP WALIPATA FURSA YA KUTEMBEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI YA PSPF NA KUJIONEA WENYEWE UBORA WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MFUKO

Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Godfrey Ngonyani (kushoto) akimkabidhi zawadi mtarishaji wa kipindi maarufu cha Power Breakfast Bw. Phillip Mwihava baada ya kumalizika kwa semina ambayo PSPF iliandaa maalum kwa watendaji kutoka Clouds Media. Lengo la semina hiyo ni kuwaelimisha kwanini PSPF inaendelea kuwa chaguo la kwanza kwa waajiriwa wapya hapa nchini. Anayeshuhudia Bibi. Neema Muro, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF. Afisa uhusiano Mwandamizi wa...

 

10 years ago

CloudsFM

Kusaga: Clouds Media Group haijauzwa kwa Rostam

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga amesema kuwa Clouds Media Group haijauzwa kwa mfanyabiasha mkubwa hapa nchini,Rostam Aziz kama ambavyo taarifa hizo zilivyokuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.

Akizungumza kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo moja kwa moja kutoka nchini Dubai alisema kuwa taarifa hiyo ameisikia na kwamba amekuwa akipigiwa sana simu na wadau mbalimbali kuhusiana na habari hizo na kusema kuwa ni jinsi gani watanzania wamekuwa wakitumia...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA GROUP,JOSEPH KUSAGA AKANUSHA TAARIFA YA KUUZWA KWA KITUO CHAKE.

Pichani chini ni sehemu ya taarifa hiyo iliyokanushwa na Bwa. Joseph Kusaga,ambayo imekuwa ikisambazwa na baadhi ya watu huku na kule katika mitandao ya kijamii.

 

10 years ago

Habarileo

Clouds Media waadhibiwa

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo pamoja na kutoza faini ya takribani Sh milioni 5 kwa kituo cha redio na televisheni cha Clouds, kwa kukiuka kanuni za utangazaji za mwaka 2005.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani