BENKI YA EXIM YAWAANDALIA FUTARI WATEJA WAKE ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-MjDS0CqbcPE/U9cqAylHuVI/AAAAAAACmbo/JvKo2IGAWco/s72-c/EXIM+IFTAR+PIX+3.jpg)
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar, Mhe. Nassor Mazrui (kulia) akizungumza wakati wa Iftari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania Tawi la Zanzibar kwa ajili ya wateja wake hivi karibuni. Wengine kulia kwake ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wateja walioalikwa katika tukio hilo. Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa Benki ya Exim Tanzania wakijumuika pamoja akatika Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo Visiwani Zanzibar kwa ajili ya wateja wake
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Benki ya CBA yawaandalia Futari wateja wake
Wa pili Kushoto ni Mweka Hazina Mkuu wa Benki ya CBA Bw. Julius Mcharo akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Yohane Kaduma na Sekh Salim Mohammed wakiwa kwenye IFTAR ilioandaliwa na benki ya CBA kwa ajili ya kujumuika na wateja wake na wadau mbalimbali wakati huu wa Ramadan, kwenye hotel ya Serana jana, akizungumza kwenye IFTAR hiyo Bw. Kaduma ametoa shukrani yingi kwa wateja wa CBA na kuiasa jamii kwa ujumla kuzingatia haki na amani sio kwenye kipindi hiki tu mwezi mtukufu...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6qBaiGXnx98/U89XcJQt7_I/AAAAAAACl-w/51TQfQyT0_U/s72-c/PIX+3.jpg)
Benki ya Exim Tanzania yaandaa futari kwa wateja wake wa mkoani Tanga
![](http://3.bp.blogspot.com/-6qBaiGXnx98/U89XcJQt7_I/AAAAAAACl-w/51TQfQyT0_U/s1600/PIX+3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aa4NmvbdIUs/U89Xa2UN0hI/AAAAAAACl-k/Shkjl4W49oI/s1600/PIX+2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2UkKZy105dU/VaefKsrOtkI/AAAAAAAC8lk/9cPtiuSKHdo/s72-c/EXIM%2B1.jpg)
BENKI YA EXIM YAANDAA HAFLA YA FUTARI KWA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-2UkKZy105dU/VaefKsrOtkI/AAAAAAAC8lk/9cPtiuSKHdo/s640/EXIM%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RVPZoyxtNQ4/VaefK6D9RjI/AAAAAAAC8ls/eMOgT1CvWf4/s640/EXIM%2B2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-YWRfi5QfIHw/VaefKJy9iqI/AAAAAAAC8lg/LIfZmDPJOEs/s640/EXIM%2B3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DTReLqYMeos/VajaqK-iGRI/AAAAAAAC8ms/TeNvhn6H6Ok/s72-c/EXIM%2BFOUR.jpg)
BENKI YA EXIM TANZANIA YAANDAA TENA FUTARI KWA AJILI YA WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM.
![](http://1.bp.blogspot.com/-DTReLqYMeos/VajaqK-iGRI/AAAAAAAC8ms/TeNvhn6H6Ok/s640/EXIM%2BFOUR.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NqttUpl_Wt4/VajaoKIiGDI/AAAAAAAC8mc/JVHpfE8bnQI/s640/EXIM%2BONE.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vlOuxKpBXWk/VajaoyO_CUI/AAAAAAAC8mk/a9HEPO27fvQ/s640/EXIM%2BTHREE.jpg)
10 years ago
MichuziBENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI, YAWAANDALIA WATEJA WAKE NA WAFANYAKAZI PARTY YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XT8pXPANvdY/VZohK54wvcI/AAAAAAAHnMo/8Sa12WSSfLA/s72-c/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
Benki ya NBC yandaa futari kwa wateja wake jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-XT8pXPANvdY/VZohK54wvcI/AAAAAAAHnMo/8Sa12WSSfLA/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9WYkrt4qH7c/VZohN9hSjzI/AAAAAAAHnMw/Cc_rlsev6UA/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wmCPtAkISPs/VZohP3lYAiI/AAAAAAAHnM4/cn6AJURy8rg/s640/unnamed%2B%252837%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2dUe9HrzVHE/VZohSPNV8pI/AAAAAAAHnNA/8jIIB4pfeCU/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
10 years ago
MichuziBenki ya Exim yasheherekea miaka 17 ya utoaji huduma na wateja wake
![](http://4.bp.blogspot.com/-6CvHmGIn9Vc/U_GnCKfB3pI/AAAAAAACnk4/g25NPSfZPmU/s1600/17th%2BANN%2BPIX%2B3.jpg)
9 years ago
MichuziBENKI YA EXIM TANZANIA YASHEREHEKEA MSIMU WA DIWALI NA WATEJA WAKE
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Es66-Mpros8/Vii8j2MLFwI/AAAAAAAIBqQ/ygQZpfpqkhY/s72-c/Exim%2BMtwara%2B1.png)
BENKI YA EXIM YAANDAA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA WATEJA WAKE MTWARA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Es66-Mpros8/Vii8j2MLFwI/AAAAAAAIBqQ/ygQZpfpqkhY/s640/Exim%2BMtwara%2B1.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ohOfIcHqojA/Vii8jdjeTQI/AAAAAAAIBqM/mUqtojtIV7I/s640/EXIM%2BMtwara%2B2.png)