Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Mwanga kukopesha walalahoi

Benki ya Wananchi Mwanga (MCBL), mkoani Kilimanjaro inakusudia kuongeza fedha za mikopo kwa wajasiriamali wadogo baada ya kupata faida kubwa katika kipindi cha mwaka 2013/14.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Benki yaanza kukopesha sekta ya afya

BENKI ya Africa Tanzania imeanza kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa sekta ya afya ili kuwezesha zahanati, vituo vya afya na hospitali kutoa huduma bora kwa wananchi. Meneja mwandamizi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Newss:WAKENYA WAWILI WAHUKUMIWA KUNYONGWA,NI WALE WALIPORA FEDHA BENKI YA NMB TAWI LA MWANGA.



Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MAHAKAMA kuu kanda ya Moshi imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa wawili raia wa Kenya katika  kesi ya mauaji ya askari Polisi, Pc Michael Milanzi, wakati wa tukio la uporaji  wa fedha katika benki ya NMB tawi la Mwanga mkoani Kilimanjaro. Mbali na hukumu hiyo iliyosomwa na Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu, Kakusulo Sambo kwa zaidi ya saa, nne ,Mshatakiwa wa tatu katika kesi hiyo ,Karisti Kanje(Mtanzania) yeye amehukumiwa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CBA YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 5 KWAAJILI YA UJENZI WA HOSTELI YA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIFARU MWANGA

SAM_2053Meneja masoko wa benki ya CBA Tanzania Solomon Kawishe kushoto,Meneja masoko Moshi Eliud Marko katikati wakimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kifaru Abdallah Mwomboke iliyopo katika kijiji cha kituri kata ya kileo wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro hundi ya shilingi Milioni tano yenye thamani ya zaidi ya mifuko 300 ya saruji kwaajili ya ujenzi wa Hosteli ya wasichana katika shule hiyo ,msaada huo ni sehemu ya kamapeni ya Book by Book inayoendeshwa na benki ya CBA ikilenga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya CBA yakabidhi hundi ya shilingi milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa hosteli ya wasichana shule ya Sekondari Kifaru Mwanga

unnamed

Meneja masoko wa benki ya CBA Tanzania, Solomon Kawishe (kushoto), Meneja masoko Moshi Eliud Marko (katikati) wakimkabidhi Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kifaru, Abdallah Mwomboke iliyopo katika kijiji cha Kituri kata ya Kileo wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro hundi ya shilingi Milioni tano yenye thamani ya zaidi ya mifuko 300 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Hosteli ya wasichana katika shule hiyo, msaada huo ni sehemu ya kamapeni ya Book by Book inayoendeshwa na benki ya CBA...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro..  Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa tayari kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mradi wa maji katika Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia.Fedha hizo zimetoka BADEA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akitia saini makubaliano ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ni kweli Lukuvi, NHC ifikirie walalahoi

Katika toleo letu la jana, ukurasa wa 12 tuliandika habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “Lukuvi: Tunataka nyumba nafuu za ukweli”, ambayo inamnukuu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akilitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuandaa mpango wa haraka wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani