Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni kweli Lukuvi, NHC ifikirie walalahoi

Katika toleo letu la jana, ukurasa wa 12 tuliandika habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “Lukuvi: Tunataka nyumba nafuu za ukweli”, ambayo inamnukuu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akilitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuandaa mpango wa haraka wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Lukuvi aagiza utafiti mauzo ya nyumba za NHC

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lifanye tathmini ya uuzaji wa nyumba zake kubaini sababu za watu wa kipato cha chini ‘kutozichangamkia’.

 

10 years ago

Mwananchi

Lukuvi aagiza halmashauri kutenga ardhi kwa NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri zote za wilaya kutenga ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili lijenge nyumba za bei nafuu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Lukuvi afungua nyumba za NHC Mrara Babati

1

Sehemu ya nyumba 40 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Mrara Babati mkoani Manyara ambazo zilifumguliwa rasmi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi amehitimisha ziara yake ya kutatua migogoro ya Ardhi katika mikoa ya Mwanza, Arusha na Manyara na ameweza pia kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba za gharama nafuu Buswelu Mwanza na kufungua nyumba za aina hiyo...

 

9 years ago

TheCitizen

Trim house costs to assist the poor, Lukuvi tells NHC

The National Housing Corporation (NHC) has been directed to come up with a strategy for lowering the costs of its houses, to enable many Tanzanians to afford them.

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi: NHC ipatiwe viwanja vya kujenga nyumba nafuu

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amezitaka halmashauri kote nchini kutenga maeneo ya viwanja ili Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) liweze kujenga nyumba bora na za gharama nafuu zitakazouzwa kwa wananchi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Lukuvi azindua nyumba za bei nafuu za NHC Longido

20

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akipewa na Mkurugenzi Mkuu wa NHC maelezo ya uendelezaji wa eneo la Usa-river lililonunuliwa na NHC kwa ajili ya kujenga Jiji la kisasa hapo jana.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Williama Vangimembe Lukuvi jana alifungua nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Wilayani Longido na kuwataka wananchi kununua nyumba hizo ili NHC iweze kujenga zingine kusaidia Wilaya hiyo kupata makazi...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Lukuvi ahitimisha ziara ya siku mbili kushuhudia utendaji wa NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo ya Injinia wa NHC, Elisante Ulomi anayesimamia Mradi wa Mwongozo Housing Estate mchana wa leo. Nyumba za mradi mkubwa wa NHC Morocco Square, Dar es Salaam zikiwa zinajengwa katika hatua ya msingi, ...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI LUKUVI AHITIMISHA ZIARA YA SIKU MBILI ASHUHUDIA UTENDAJI WA NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo jana mchana.
Nyumba za gharama nafuu za NHC Mwongozo, Kigamboni Dar es Salaam zinavyoonekana wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi… ...

 

10 years ago

GPL

LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZINAZOJENGWA NA NHC WILAYANI MASASI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo, Mh. William Vangimembe Lukuvi akisalimia viongozi wa NHC mara baada ya kuwasili eneo la Napupa Masasi kuzindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC. Anayemuongoza Mh. Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Felix Maagi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na hadhira iliyofurika katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani