BENKI ZA NBC NA BARCLAYS ZADHAMINI SHINDANO LA Vijanatz Business Plan
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi (Consumer Banking) wa Benki ya Barclays Afrika, Rajal Vaidya (wa pili kushoto) akikabidhi hundi ya sh milioni moja kwa Peter Celestine, mmoja wa washindi wa shindano la kutafuta na kukuza mawazo ya ujasiriamali kwa vijana wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali wakati wa shindano hilo jijini Dar es Salaam jana. Shindano hilo limeandaliwa na Taasisi ya Tanzania Youth Alliance (Tayoa) kwa udhamini wa benki za NBC na Barclays.Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkazi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NBC DIRECT
10 years ago
TheCitizen11 Sep
Barclays names NBC boss as Africa head
10 years ago
Africanjam.Com
BUSINESS: LEARN HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN (WITH TEMPLATES)

PART 1:
Creating a business plan will help you achieve your entrepreneurial goals. A clear and compelling business plan provides you with a guide for building a successful enterprise focused on achieving your personal and financial goals. It can also help persuade others, including banks, to invest in what you are creating. See Step 1 to learn how to approach your business plan.
Analyze the potential markets for your business
Consider which segment of the local (and/or international) population...
10 years ago
MichuziBenki ya NBC Idara ya Uendeshaji wafanya mkutano kuweka mikakati ya kuendeleza benki
10 years ago
Michuzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza


11 years ago
Michuzi
NBC TANZANIA ILIVYOMKARIBISHA NCHINI MTENDAJI MKUU WA BARCLAYS PLC, ANTHOY JENKINS .


11 years ago
Habarileo16 Apr
Majambazi yapora fuko la fedha Benki ya Barclays
MAJAMBAZI wenye silaha wamepora fedha zinazokisiwa kufikia Sh milioni 300 katika Benki ya Barclays tawi la Kinondoni `TX Market’ jijini Dar es Salaam.
11 years ago
GPL
BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI YAVAMIWA NA MAJAMBAZI