BI. CHAU: ETI NIMKALIE EDA MZEE SMALL, MH!
![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC0gJfxly*AAVmITvBkgnWqu5mRBMNzOAMQjXyvpIGX7qo7F1sIfkOPQVPGKwz-XpRI7H42KWEn*CB2B7-hUAf2l/mzee.jpg)
Stori: Hamida Hassan Muigizaji mkongwe Chausiku Salum ‘Bi Chau’ ameshangazwa na dhana iliyopo kwa mashibiki kwamba yeye ni mume wa marehemu Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ huku wakimtaka akae eda. Muigizaji mkongwe Chausiku Salum ‘Bi Chau’. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Bi. Chau alisema amekuwa akipokea simu nyingi zikimuuliza anakalia wapi eda ili wakampe pole huku wengine wakihoji kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi08 Jun
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s72-c/16.jpg)
RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s1600/16.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1KVXjmxkPmM/U5XUplUezCI/AAAAAAAFpLI/rz-rCnDTMfU/s1600/17.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UjNnWqonmuI/U5XWQy_pcAI/AAAAAAAFpP4/-ElXwHuRzVk/s1600/_5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gwrGe28cIOU/U5XWQZ_LE-I/AAAAAAAFpPw/1rkRJa3Ip8s/s1600/_4.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MAZISHI YA MZEE SMALL
11 years ago
TheCitizen15 Jun
Comical legislators beyond Mzee Small
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75qqBnctKoH6v7liY5Eno5ecUQtux0TiGSeDozS2voEquksgnHuWrUCB3mcos9PkjGdAf3bwulnWRrL2Y3vtCvm4/msibamzeesmall13.jpg)
JK MSIBANI KWA MZEE SMALL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1HVDY-KecWYyIdoLstxIieadQxzgZNvhWaylItMvS3ePB4eugraedyHvii1SO9ICN6htUgO9gK4kPy9fxFSIOi/MZEE.jpg)
R.I.P GWIJI WA VICHEKESHO MZEE SMALL
11 years ago
CloudsFM10 Jun
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mamia wamzika Mzee Small
MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana jioni walijitokeza kwa wingi kumsindikiza gwiji wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ katika safari yake ya mwisho, ambapo alizikwa...