Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


biashara matangazo...


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tovuti ya Matangazo ya Biashara

Bongofree is offering free posting classifieds ads based in Tanzania. Site is built with modest technology with user usability in mind. It's quick and easy to post ads. It's very powerful mobile friendly website. You can post almost everything for sale or hire such as Jobs, Property, Vehicles, Electronics Items, Personal Items, Services, Business Listing, etc.. The website is responsive and enable users to view & post ads from mobile devices! It also attract a lot of visitors every day....

 

11 years ago

GPL

SHOGA, SI KILA BIASHARA MATANGAZO!

JAMANI mwishowe nitapasuka mdomo kwa kusema, mambo mengine kwa mwanamke aibu kuyafanya. Mnakuwa kama hamkwenda mkoleni mkafundwa mkafundika. Hata kama hukwenda bado una aibu ya kike, mnakimbilia mambo ya kuiga ndiyo maana ndoa za siku hizi zimekosa neema wala maisha marefu. Nani alikwambia kicheni pati ya siku moja unafunda mtu  kama siyo kukupoteza na kukupeleka siko. Si wajinga walianzisha mafunzo ya mwanamke ya kuujua...

 

10 years ago

Michuzi

biashara matangazo...Design Mpya ya Tshirts za Kitaa wear zapatikana sasa

Design Mpya ya Tshirts Bei 25,000/= per peace Designer ; Mike Mwakatundu Shop ; Kitaa Wear Kwa Mawasiliano Email; mwakatundu.m@gmail.com +255 754 310 202 +255 713 292 212  NB Unaletewa mpaka Nyumbani/Ofisini  Kama upo interested na bidhaa nyingine zaidi hizo hapo chini tembelea blog yetu www.dukaletu.blogspot.com  Ili kuwajua watengenezaji waagizaji wa bidhaa mbalimbali, mahoteli, usafiri , address sahihi za watu mbalimbali maarufu hapa nchini tembelea blog yetu...

 

10 years ago

Bongo5

Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua

Unapotazama kwa umakini suala la uchumi na mambo ya biashara utagundua wamiliki wakubwa wa biashara nyingi sio wasomi sana ukilinganisha na walioajiriwa kuendesha hizo biashara. Nilipokuwa nikisoma maelezo ya mtu mmoja alizungumzia kitu fulani cha msingi ambacho kinatukabiri sisi ambao kwa namna moja ama nyingine tunasema ni wasomi lakini hatuwezi kuendesha biashara zetu wenyewe. Kitu […]

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA INNOCENT BASHUNGWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ameshiriki kwenye Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la biashara Zanzibar. Lenye kauli mbiu isemayo “Ushirikishwaji katika kuleta maendeleo endelevu kupitia uchumi wa bahari"

Mkutano huo umefunguliwa Leo 07.03.2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na Mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa jukwaa la biashara na Rais wa Zanzibar Mhe .Dkt Ali Mohamed Shein ambae amefungua jukwaa hilo ambalo lengo kuu ni kutazama fursa...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa masomo ya biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zahra Ramadhani(kulia) akielezewa jambo na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Habibu Ngosha ,kuhusiana na simu aina ya Smart Phone wakati Semina maalum ya mafunzo ya Kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya biashara hapo jana chuoni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela akimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wanaosoma masomo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani