SHOGA, SI KILA BIASHARA MATANGAZO!
![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVULz7-vuYie7sit1Yn2gZSGF92onSg7u*X6QJbsm7Qf5HggjWZXFdPkp-wNy9L*6NvMiwuQQkBnQ8ypZ6wgjLXd/uditagoswami.jpg?width=650)
JAMANI mwishowe nitapasuka mdomo kwa kusema, mambo mengine kwa mwanamke aibu kuyafanya. Mnakuwa kama hamkwenda mkoleni mkafundwa mkafundika. Hata kama hukwenda bado una aibu ya kike, mnakimbilia mambo ya kuiga ndiyo maana ndoa za siku hizi zimekosa neema wala maisha marefu. Nani alikwambia kicheni pati ya siku moja unafunda mtu kama siyo kukupoteza na kukupeleka siko. Si wajinga walianzisha mafunzo ya mwanamke ya kuujua...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-B2VUIu47UtQ/U77XLZZEUsI/AAAAAAAF0l4/CY71splm7Ew/s72-c/55f3ed83e2fa43904c2515e76cd1ab9b.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Jan
Tovuti ya Matangazo ya Biashara
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmMc-bBP39bfHUWNvqym9Gdluw9erAIjVqA4Mk9sdM4e0bixeg-holHLTYDUcYnFSZAhWfWMr5M-3btpZ5glU7RZ/MariaJoseLopez_1482321a.jpg?width=650)
SHOGA: SI LAZIMA MUMEO AKUANZE KILA MARA MNAPOKUWA FARAGHA!
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EH0ZgqTgR9Y/VXyi27GWrKI/AAAAAAAHfRE/eT5U3BtXH-s/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.png)
biashara matangazo...Design Mpya ya Tshirts za Kitaa wear zapatikana sasa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLUbkrW853sKPvKM1sUD4ERoZoqMrs2aEw*PbSErEDFd6SCtUEi5yWcTkjBwffoKzCKdEtgUwKPUus-DOyYl4He/EveTorreswwedivas31020883642722.jpg?width=650)
SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Magufuli: Laptop kila mwalimu, milioni 50/- kila kijiji
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kutoa kompyuta mpakato (laptop) kwa kila mwalimu hapa nchini
Mwandishi Wetu
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...
10 years ago
Bongo511 Nov
Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua