Bil. 512/- zarejeshwa Bodi ya Mikopo
BODI ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu imesema kati ya sh 1,502,620,320,764.58 zilizokopeshwa kwa wanafunzi kati ya Julai 1994 hadi Juni 30, mwaka jana ni sh 512,450,004,489.75 zilizolipwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU YAELEZEA UREJESHWAJI WA MIKOPO
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jM1o7O6hdjw/VaaBI8AGdBI/AAAAAAABRzk/sdo2WPNb7xM/s72-c/New%2BPicture%2B%25284%2529.jpg)
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO
![](http://3.bp.blogspot.com/-jM1o7O6hdjw/VaaBI8AGdBI/AAAAAAABRzk/sdo2WPNb7xM/s640/New%2BPicture%2B%25284%2529.jpg)
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015.
Kupitia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HrE0xTSBKMI/XsKDt6lzxOI/AAAAAAALqqM/4ZkT6hz8kXMThidQq08N3oy4vOEgRoUCwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-18%2Bat%2B3.31.43%2BPM.jpeg)
BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-HrE0xTSBKMI/XsKDt6lzxOI/AAAAAAALqqM/4ZkT6hz8kXMThidQq08N3oy4vOEgRoUCwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-18%2Bat%2B3.31.43%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-0oHVA2UbJjY/XsKDtaBJVtI/AAAAAAALqqI/MYmvXNWfSuwiEzqd-KE1pvfhLbD7QQYGwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-18%2Bat%2B3.32.03%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZorMRMpkxok/XsKDugAyI6I/AAAAAAALqqQ/ZOLUe0pbRl0cMunDKQwEcuLriC0jUDSeQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-18%2Bat%2B3.32.22%2BPM.jpeg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-w3XZMinggZs/VUNxY743_cI/AAAAAAAHUes/huYv7T34hvI/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016
![](http://3.bp.blogspot.com/-w3XZMinggZs/VUNxY743_cI/AAAAAAAHUes/huYv7T34hvI/s1600/unnamed%2B(61).jpg)
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...
9 years ago
Habarileo01 Sep
Vijana watengewa bil.1/- za mikopo
MANISPAA ya Kinondoni imetenga fedha kiasi cha Sh bilioni moja ambazo zitagawiwa katika kata 10 kwa ajili ya mikopo isiyokuwa na masharti kwa vijana. Hayo yalisemwa na Mtahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda alipokuwa akimnadi mgombea wa Ubunge Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Kippi Warioba kwenye viwanja vya Boko CCM jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Mucoba Mufindi yatoa mikopo ya bil. 10/-
BENKI ya Wananchi Mufindi (Mucoba) iliyoko wilayani Mufindi, Iringa, imetoa mikopo ya sh bilioni 10 kwa wajasiriamali 33,000 ili waweze kuboresha miradi yao na kujiendeleza kiuchumi. Meneja wa benki hiyo,...
10 years ago
Habarileo28 Nov
Mikopo iliyoiva ya elimu ya juu yarejesha bil. 58.6/-
HADI kufikia Septemba 30, mwaka huu, Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilikuwa imekusanya Sh 58,565,069,731.04 kutoka kwa wanufaika 101,653 wa mikopo iliyoiva.
10 years ago
Habarileo16 Mar
Bodi ya Mikopo na CAG kushirikiana
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepanga kushirikiana na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika kuhakikisha kunakuwapo uwajibikaji wa waajiri katika urejeshaji wa mikopo.
10 years ago
Habarileo25 Nov
Muswada wa Bodi ya Mikopo kizungumkuti
BUNGE jana liliamuru kwa mara nyingine, Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2014, kwenda kufanyiwa marekebisho na kurudishwa kwa sehemu ya muswada huo kuhusu marekebisho ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu.