Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana watengewa bil.1/- za mikopo

MANISPAA ya Kinondoni imetenga fedha kiasi cha Sh bilioni moja ambazo zitagawiwa katika kata 10 kwa ajili ya mikopo isiyokuwa na masharti kwa vijana. Hayo yalisemwa na Mtahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda alipokuwa akimnadi mgombea wa Ubunge Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Kippi Warioba kwenye viwanja vya Boko CCM jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Umeme Hai watengewa bil. 1.8/-

JUMLA ya sh. bilioni 1.8 zitatumika katika kutekeleza ujenzi wa mradi wa umeme katika jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, alieleza hayo bungeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utekelezaji BRN watengewa bil. 5/-

KIASI cha sh bilioni tano zimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN) itakayofanywa na taasisi za sekta binafsi. Fedha hizo zitatumika kutekeleza miradi ya maendeleo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee wa Mahakama watengewa Bil. 1.5/-

SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2014/2015, Wizara ya Katiba na Sheria, imetenga sh bilioni 1.5 kwa ajili ya malipo ya madai ya wazee wa mahakama. Ahadi hiyo ilitolewa bungeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake, vijana Muleba watengewa mil. 69/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagara, imetenga zaidi ya sh milioni  69 kwa kipindi cha mwaka 2010/2014 kwa ajili ya mikopo kwa vyama vya akiba na mikopo (Saccos) vya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Vijana Babati wapata mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Vijana

Pix 1

Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga akisalimiana na Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Omari M. Mkombole alipomtembelea ofisini kwake wakati wa ziara ya Mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo Mjini Babati.

Na Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini – WHVUM

VIJANA wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati waaswa kuzingatia Sera ya Taifa ya...

 

11 years ago

Michuzi

Vijana wa Babati wapata Mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana

Na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini - WHVUM
Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati waaswa kuzingatia Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya Mwaka 2007 ili kuweza kuleta maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Babati na hivyo kuwa chachu ya maendeleo nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga wakati wa Mafunzo kwa Vijana kuhusu upatikanaji wa Mikopo kupitia Mfuko wa...

 

11 years ago

Michuzi

Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Wapigwa msasa kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana

 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma Bw. Boniface Mandi akifungua  Mafunzo  ya Vikundi vya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.Mafunzo hayo yanatolewa na kuratibiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma Bw. Boniface Mandi akiongea na Timu ya Maafisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo  kabla ya kufungua...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mucoba Mufindi yatoa mikopo ya bil. 10/-

BENKI ya Wananchi Mufindi (Mucoba) iliyoko wilayani Mufindi, Iringa, imetoa mikopo ya sh bilioni 10 kwa wajasiriamali 33,000 ili waweze kuboresha miradi yao na kujiendeleza kiuchumi. Meneja wa benki hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani