Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake, vijana Muleba watengewa mil. 69/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagara, imetenga zaidi ya sh milioni  69 kwa kipindi cha mwaka 2010/2014 kwa ajili ya mikopo kwa vyama vya akiba na mikopo (Saccos) vya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vijana Muleba wakabidhiwa trekta la mil. 43/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba imenunua trekta lenye thamani ya Sh mil.43 na kulikabidhi kwa vijana wa wilaya hiyo. Trekta hilo litatumika kuanzisha mashamba ya kilimo cha mazao mbalimbali ili kujiajiri na kuacha utegemezi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazalishaji chumvi watengewa mil 62/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ikungi imetenga sh. milioni 62.8 kwa ajili ya kuwakopesha kinamama na vijana wanaozalisha chumvi kwa mwaka wa fedha 2014/15. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa maendeleo Moro watengewa mil. 176/-

MEYA wa Manispaa ya Morogoro, Amiri Nondo, amesema kutokana na tatizo la maji katika manispaa hiyo hasa kata za pembezoni, sh milioni 716 zimetengwa kwa ajili ya  Mfuko wa Maendeleo...

 

9 years ago

Habarileo

Vijana watengewa bil.1/- za mikopo

MANISPAA ya Kinondoni imetenga fedha kiasi cha Sh bilioni moja ambazo zitagawiwa katika kata 10 kwa ajili ya mikopo isiyokuwa na masharti kwa vijana. Hayo yalisemwa na Mtahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda alipokuwa akimnadi mgombea wa Ubunge Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Kippi Warioba kwenye viwanja vya Boko CCM jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Saccos ya vijana yakopeshwa Sh10 mil

Chama cha Akiba na Mikopo cha Manispaa ya Musoma (Vijana Musoma Saccos), imepokea mkopo wa Sh10 milioni kutoka kwa mkurugenzi wa manispaa ikiwa ni mkopo wa awamu ya pili.

 

10 years ago

Habarileo

TPSF yachangia mil.20/- wabunge wanawake

Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary NaguTAASISI ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) jana ilichangia Sh milioni 19.5 kuwasaidia wabunge wanawake wa majimbo kisiasa na kiuchumi.

 

10 years ago

Habarileo

Vikundi vya wanawake vyapewa mil. 7/-

HALMASHAURI ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara imekabidhi hundi zenye thamani ya Sh milioni saba kwa vikundi 11 vya wanawake wajasiriamali.

 

10 years ago

Dewji Blog

TUNAJALI wawajali wanawake na vifaa tiba vya mil 155/-

DSC01359

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la TUNAJALI, Dk.Gottlieb Mpangile (kushoto) akizungumza kwenye hafla ya kuzindua mpango wa kutokomeza vifo vya wajawazito na watoto wachanga mkoani Singida, Pia hafla hiyo ilitumika kutoa msaada wa vifaa tiba vikiwemo vitanda vya kujifungulia vyote kwa pamoja  vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 155 milioni.Wa pili kushoto (waliokaa) ni mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na wa kwanza ni katibu tawala mkoani Singida, Liana Hassan.

Na...

 

10 years ago

Vijimambo

PROF. TIBAIJUKA ACHANGIA MIL 60 KUKUZA MITAJI YA WANAWAKE JIMBONI MWAKE

Zaidi ya vikundi 500 vya wajasiliamali kutoka kata 17 kati ya 25 zinazounda jimbo la Muleba Kusini Mkoani Kagera vimepokea mchango wa Shilingi milioni 60 kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo kwa lengo la kuboresha mitaji na kujipanua kiuchumi.Akihutubia wawakilishi wa vikundi hivyo jana katika ukumbi wa Kajumulo Foundation mjini Muleba mbunge wa jimbo hilo Profesa Anna Tibaijuka amesema vikundi alivyochangia fedha hizo ni vya wanawake , Vijana pamoja na wazee.
Profesa Tibaijuka amesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani