TPSF yachangia mil.20/- wabunge wanawake
TAASISI ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) jana ilichangia Sh milioni 19.5 kuwasaidia wabunge wanawake wa majimbo kisiasa na kiuchumi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Apr
SATF yachangia miradi ya elimu FPCT mil 11.7/-
JUMLA ya Sh milioni 11.7 zimetolewa na Shirika lisilo la kiserikali la Social Action Trust Fund (SATF) kwa asasi ya Free Pentecoste Church of Tanzania (FPCT) kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya elimu.
10 years ago
Habarileo08 Mar
Japan yachangia mil 160/- shule ya msingi Kakuni
SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na Sh milioni 160/- kusaidia ujenzi wa shule ya awali kwenye shule ya msingi Kakuni, iliyopo kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi.
10 years ago
Habarileo09 Nov
Vikundi vya wanawake vyapewa mil. 7/-
HALMASHAURI ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara imekabidhi hundi zenye thamani ya Sh milioni saba kwa vikundi 11 vya wanawake wajasiriamali.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wanawake, vijana Muleba watengewa mil. 69/-
HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagara, imetenga zaidi ya sh milioni 69 kwa kipindi cha mwaka 2010/2014 kwa ajili ya mikopo kwa vyama vya akiba na mikopo (Saccos) vya...
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Dk Kashilillah awasihi wabunge wanawake
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Wabunge wanawake walikosa mkakati
10 years ago
Habarileo07 Apr
Wabunge wanawake wapewa changamoto
WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
TUNAJALI wawajali wanawake na vifaa tiba vya mil 155/-
Na...
11 years ago
Habarileo23 Feb
Spika- Wabunge wanawake epukeni Ukimwi
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwavunjia heshima na kuwaambia Ukimwi upo na umekithiri. Makinda, ambaye hiki ni kipindi chake cha nane akiwa bungeni, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye semina ya wajumbe wanawake wa Bunge hilo.