Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Kashilillah awasihi wabunge wanawake

Wanawake barani Afrika wametakiwa kushiriki katika uamuzi ili kufikia malengo waliyoyakusudia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wanawake walikosa mkakati

Juzi, tulishuhudia kwa mara ya kwanza wabunge wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiungana kukwamisha Bajeti ya Wizara ya Afya kutokana na hatua ya Serikali kupunguza bajeti ya wizara hiyo kutoka Sh753.8 bilioni mwaka 2013/14 hadi Sh622.9 bilioni mwaka wa fedha ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wanawake wapewa changamoto

WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.

 

10 years ago

Habarileo

TPSF yachangia mil.20/- wabunge wanawake

Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary NaguTAASISI ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) jana ilichangia Sh milioni 19.5 kuwasaidia wabunge wanawake wa majimbo kisiasa na kiuchumi.

 

11 years ago

Habarileo

Spika- Wabunge wanawake epukeni Ukimwi

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwavunjia heshima na kuwaambia Ukimwi upo na umekithiri. Makinda, ambaye hiki ni kipindi chake cha nane akiwa bungeni, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye semina ya wajumbe wanawake wa Bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge 19 wanawake wa Tanzania wazuru China

WABUNGE wanawake 19 wa Bunge la Tanzania wako China katika ziara ya siku 11 yenye lengo la kubadilishana na kujifunza kwa wenzao masuala ya uongozi na wanavyojihusisha kwenye shughuli za kijamii.

 

10 years ago

Vijimambo

Wanawake wabunge Tanzania ni wachapakazi: Anne Makinda


Wakati kikao cha maandalizi ya mkutano wa maspika wa bunge kikimalizika mjini New York, spika wa bunge kutoka Tanzania Anne Makinda amesema wabunge wanawake nchini humo wamefanya kazi kubwa katika kuleta mabadiliko juu ya mtizamo wa watu kuhusu wanawake kwenye jamii.

Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa spika Makinda ambaye kwa sasa ni rais wa bunge la nchi za kusini mwa Afrika SADC amefafanua wajibu wa bunge hilo. Kwanza anaanza kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Hafla ya Wabunge Wanawake yafana mjini Dodoma

PG4A5450

Spika wa Bunge Anne Makinda akisalimiana na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Asha Seif Ali Idi , Mkew wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda (wapili kushoto ) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu (kushoto) katika hafla ya wajumbe  Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyofanyika, Kilimani Dodoma, Aprili 4, 2014. Hafla hiyo iliandaliwa na Mama Tunu Pinda na Mama Asha Seif Ali Idi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake wabunge Tanzania ni wachapakazi: Spika Anne Makinda


 Joseph Msami katika mahojiano na spika Anne MakindaWakati kikao cha maandalizi ya mkutano wa maspika wa bunge kikimalizika mjini New York, spika wa bunge kutoka Tanzania Anne Makinda amesema wabunge wanawake nchini humo wamefanya kazi kubwa katika kuleta mabadiliko juu ya mtizamo wa watu kuhusu wanawake kwenye jamii.Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa spika Makinda ambaye kwa sasa ni rais wa bunge la nchi za kusini mwa Afrika SADC...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani