Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wanawake walikosa mkakati

Juzi, tulishuhudia kwa mara ya kwanza wabunge wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiungana kukwamisha Bajeti ya Wizara ya Afya kutokana na hatua ya Serikali kupunguza bajeti ya wizara hiyo kutoka Sh753.8 bilioni mwaka 2013/14 hadi Sh622.9 bilioni mwaka wa fedha ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake waweka mkakati Bunge la Katiba

WANAWAKE waliobahatika kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge la Katiba, wametakiwa kuweka tofauti zao kando wakiwa kwenye vikao vya Bunge hilo na kuhakikisha maslahi yao na watoto yanapewa kipaumbele. Wito huo...

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Sirleaf na mkakati wa kuwasaidia wanawake viongozi barani Afrika

Bi Ellen Johnson Sirleaf Rais wa zamani wa Liberia Jumapili ijayo ataanzisha mpango wa kuwasaidia wanawake wa Kiafrika kufikia nyadhifa za juu katika bara hilo linalodhibiwa na marais wanaume.

Bi Sirleaf ambaye ni mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2006 alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais wa nchi barani Afrika mwaka 2006. Aliondoka madarakani mwaka 2018 katika nchi ya Liberia iliyowahi kuathiriwa na vita kupitia mchakato wa kwanza wa amani wa kukabidhi madaraka nchini humo...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wanawake wapewa changamoto

WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Kashilillah awasihi wabunge wanawake

Wanawake barani Afrika wametakiwa kushiriki katika uamuzi ili kufikia malengo waliyoyakusudia.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge 19 wanawake wa Tanzania wazuru China

WABUNGE wanawake 19 wa Bunge la Tanzania wako China katika ziara ya siku 11 yenye lengo la kubadilishana na kujifunza kwa wenzao masuala ya uongozi na wanavyojihusisha kwenye shughuli za kijamii.

 

11 years ago

Habarileo

Spika- Wabunge wanawake epukeni Ukimwi

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwavunjia heshima na kuwaambia Ukimwi upo na umekithiri. Makinda, ambaye hiki ni kipindi chake cha nane akiwa bungeni, alitoa hadhari hiyo jana mjini hapa kwenye semina ya wajumbe wanawake wa Bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

TPSF yachangia mil.20/- wabunge wanawake

Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary NaguTAASISI ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) jana ilichangia Sh milioni 19.5 kuwasaidia wabunge wanawake wa majimbo kisiasa na kiuchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani