Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal awapa changamoto wakutubi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameutaka Muungano wa Wakutubi na Watoa taarifa za Afya Afrika (AHILA), kuhakikisha wanaibuka na mikakati bora inayotekelezeka itakayowezesha masuala ya afya kupatikana kirahisi kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Teknohama).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda awapa changamoto wafanyabiashara

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza.

 

10 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU PDB AWAPA CHANGAMOTO WAKUU WA MIKOA NA WILAYA

Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa akiwapa changamoto leo Alhamisi Wakuu wa Mikoa na Wilaya (hawapo pichani) kufanya uamuzi wa haraka katika utekelezaji wa majukumu yao na kutosubiri mpaka wafuatiliwe. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na viongozi wengine wakifuatilia hotuba ya Mtendaji Mkuu wa PDB, Bw. Omari Issa mjini Dodoma leo Alhamisi aliyekuwa akiwakumbusha watendaji hao...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal awapa somo wabunifu wa majengo

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal.MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka wabunifu wa majengo wa nchi za Afrika ya Mashariki na Kati kubuni mbinu mbadala katika ujenzi wa majengo zenye kulinda mazingira na kupunguza gharama za umeme na maji.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais wa wachimba Madini John Bina awapa wasanii changamoto, wasikate tamaa

JOHN

Rais wa shirikisho la wachimba madini Tanzania John Bina akizungumza na wapenzi na washabiki wa msanii wa kizazi kipya wa mkoa wa Singida Small Jobiso, kwenye Pub ya Serengeti wakati wa utambilisho wa kikundi cha Watoto wa Chui.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

Wasanii wa vikundi mbalimbali wametakiwa kutokata tamaa pindi wanapoanzisha vikundi vyao kwa kukosa wadhamini wa kuwaendeleza, bali wakaze buti iko siku watatoka tu.

Changamoto hiyo imetolewa jana mjini hapa na Rais wa Shirikisho la...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilal aeleza changamoto za kilimo nchini

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema licha ya kuwa asilimia 75 ya Watanzania wanategemea kilimo kama ajira, bado kuna changamoto kubwa za kufikia mafanikio.

 

10 years ago

Michuzi

MWANAMITINDO TAUSI LIKOKOLA AWASILI NCHINI,AWAPA CHANGAMOTO WANAMITINDO NCHINI

 Mwanamitindo,Tausi Likokola akiwasili leo wa uwanja wa Ndege Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitoke nchini Marekani kwa ziara ya siku 10 kushoto ni mama mdogo,Beatrice Likokola Mwanamitindo,Tausi Likokola akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo Jijini Dar es Salaam.Mwanamitindo Tausi Likokola akishiriki kucheza ngoma ya asili ya kundi la wanne Star mara baada ya kuwasili wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk. Gharib Bilal atoa changamoto Chahita, Necta

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amekitaka Chama cha Hisabati Tanzania (Chahita) na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kukaa meza moja ili kuondoa tofauti zilizopo kuhusu namna ya wanafunzi wa darasa la saba kufanya mtihani wa hisabati.

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani