Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa wachimba Madini John Bina awapa wasanii changamoto, wasikate tamaa

JOHN

Rais wa shirikisho la wachimba madini Tanzania John Bina akizungumza na wapenzi na washabiki wa msanii wa kizazi kipya wa mkoa wa Singida Small Jobiso, kwenye Pub ya Serengeti wakati wa utambilisho wa kikundi cha Watoto wa Chui.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

Wasanii wa vikundi mbalimbali wametakiwa kutokata tamaa pindi wanapoanzisha vikundi vyao kwa kukosa wadhamini wa kuwaendeleza, bali wakaze buti iko siku watatoka tu.

Changamoto hiyo imetolewa jana mjini hapa na Rais wa Shirikisho la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kukatishwa tamaa ni changamoto inayowarudisha nyuma wasanii

Msanii yeyote anapoingia katika tasnia ya muziki, huwa ana malengo yake na wapo ambao ndoto zao hutimia kwa muda mfupi na wengine husota kwa muda mrefu.

 

9 years ago

Habarileo

Kerr ataka mashabiki wasikate tamaa

KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokata tamaa na matokeo ya sare na kwamba timu yake itakaa sawa katika mechi zijazo. Simba juzi ilipata sare ya tatu baada ya ile dhidi ya Azam na dhidi ya Toto African ya Mwanza kwa kutoka sare ya bao 1-1 na Mwadui ya Shinyanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimba madini waonywa

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu ameelezea kusikitishwa na uharibifu wa Barabara ya Songea-Mbinga unaofanywa na wachimbaji wadogo wa madini karibu na Gereza la Kitai, wilayani Mbinga.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimba madini Manyara kunufaika

Wadau wa Madini wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamejengewa uwezo katika ugatuaji wa madini, yaani kunufaika kupitia madini hayo na halmashauri husika kusimamia shughuli hizo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wachimba madini 15 haramu wauawa AK

Maafisa wa polisi nchini Afrika Kusini wanachunguza mauaji wa wachimba migodi 15 waliouawa wiki hii

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yatishia kufuta leseni za wachimba madini

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini inakusudia kufuta leseni 10 za uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Geita kutokana na wamiliki wake kushindwa kutekeleza taratibu na sheria za leseni za uchimbaji kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya mwaka 2010.

 

10 years ago

Habarileo

Bilal awapa changamoto wakutubi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameutaka Muungano wa Wakutubi na Watoa taarifa za Afya Afrika (AHILA), kuhakikisha wanaibuka na mikakati bora inayotekelezeka itakayowezesha masuala ya afya kupatikana kirahisi kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Teknohama).

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda awapa changamoto wafanyabiashara

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza.

 

10 years ago

Raia Mwema

Wasanii wetu na tamaa ya ubunge

NILIWAHI kuandika makala nyingi kuhusu sanaa na wasanii wetu hapa nchini.

Egbert Mtui

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani