Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kukatishwa tamaa ni changamoto inayowarudisha nyuma wasanii

Msanii yeyote anapoingia katika tasnia ya muziki, huwa ana malengo yake na wapo ambao ndoto zao hutimia kwa muda mfupi na wengine husota kwa muda mrefu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Jb Avutia Nyumbani, Aeleza Kukatishwa Tamaa

Muigizaji na muongozaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Jacob Stephen amewataka mashabiki kupenda kazi za nyumbani ili kuzipa uzito kwenye nchi za jitrani.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa filamu  mpya ya MAHABUSU ambayo kwasaa ipo madukani; ambayo imemshirikisha marehemu Kuambiana, JB alisema kuna tabia ya wapenzi wa Bongo Movies  kuponda kazi za wasanii kwa madai kuwa hazina uhalisia.

Hali hiyo alisema JB inafanya soko la kazi za wasanii kuwa ngumu pia katika nchi jirani.

"Hakuna kitu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais wa wachimba Madini John Bina awapa wasanii changamoto, wasikate tamaa

JOHN

Rais wa shirikisho la wachimba madini Tanzania John Bina akizungumza na wapenzi na washabiki wa msanii wa kizazi kipya wa mkoa wa Singida Small Jobiso, kwenye Pub ya Serengeti wakati wa utambilisho wa kikundi cha Watoto wa Chui.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

Wasanii wa vikundi mbalimbali wametakiwa kutokata tamaa pindi wanapoanzisha vikundi vyao kwa kukosa wadhamini wa kuwaendeleza, bali wakaze buti iko siku watatoka tu.

Changamoto hiyo imetolewa jana mjini hapa na Rais wa Shirikisho la...

 

10 years ago

Raia Mwema

Wasanii wetu na tamaa ya ubunge

NILIWAHI kuandika makala nyingi kuhusu sanaa na wasanii wetu hapa nchini.

Egbert Mtui

 

9 years ago

Bongo5

Aslay awataka wasanii wachanga kuacha tamaa

Muimbaji wa kundi la Yamoto Band, Aslay amewaka wasanii wachanga kuepuka tamaa za mafanikio ya haraka. Aslay ameiambia Bongo5 kuwa alijitahidi kupambana na watu ambao walikuwa wanajaribu kumlaghai ili wampoteze. “Unajua watu wanavyokuona sehemu wanaweza wakakulaghai ili uone hapafai,”amesema. “Mimi nimekutana na watu kama hao, sana lakini kwenye kichwa changu nilikuwa naamini ninachokifanya. Pia tamaa […]

 

9 years ago

Bongo5

Joh Makini ana ujumbe kwa wasanii waliokata tamaa

11348151_1124679907544180_395111175_n

Hitmaker wa Don’t Bother, Joh Makini amewataka wasanii kutokata tamaa hata wakiwa wametoa ngoma nyingi bila mafanikio.

11348151_1124679907544180_395111175_n

Akizungumza na Stori Tatu kupitia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Joh alisema wapo waliotoa ngoma 30 bila mafanikio lakini wimbo mmoja tu ukaja kuwabadilishia maisha yao.

“Kuna watu wanaimba nyimbo 10,20 hadi 30 lakini bado wanakuwa na maisha mabovu lakini anakuja kutoa wimbo wa 40 unabadili maisha yake yote,” alisema. “Lakini hata wimbo mmoja ukiutilia...

 

9 years ago

Bongo5

Sugu adai matarajio kuwa angesaidia wasanii ilikuwa changamoto kubwa kwake

Mbunge wa Mbeya mjini anayetetea kiti chake kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, amezitaja changomoto mbili alizokutana nazo wakati alipoingia bungeni kama msanii wa muziki. Sugu ameiambia BBC kuwa moja ya changamoto ni kuonekana kama mkombozi wa wasanii wakati hawakumsaidia chochote alipoingia bungeni. “Changamoto moja wapo ni ile hali ya baadhi ya wasanii […]

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

10 years ago

Raia Mwema

Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani