Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jb Avutia Nyumbani, Aeleza Kukatishwa Tamaa

Muigizaji na muongozaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Jacob Stephen amewataka mashabiki kupenda kazi za nyumbani ili kuzipa uzito kwenye nchi za jitrani.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa filamu  mpya ya MAHABUSU ambayo kwasaa ipo madukani; ambayo imemshirikisha marehemu Kuambiana, JB alisema kuna tabia ya wapenzi wa Bongo Movies  kuponda kazi za wasanii kwa madai kuwa hazina uhalisia.

Hali hiyo alisema JB inafanya soko la kazi za wasanii kuwa ngumu pia katika nchi jirani.

"Hakuna kitu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kukatishwa tamaa ni changamoto inayowarudisha nyuma wasanii

Msanii yeyote anapoingia katika tasnia ya muziki, huwa ana malengo yake na wapo ambao ndoto zao hutimia kwa muda mfupi na wengine husota kwa muda mrefu.

 

10 years ago

GPL

OBASANJO AVUTIA WENGI KWA KUJIPIGA PICHA KWENYE SIMU YAKE

Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo akijipiga picha.
RAIS wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, amekuwa akiwavutia wananchi wenzake kwa kujipiga picha akitumia simu yake ambayo inatumia mfumo wa ‘android’.  Obasanjo amekuwa akimwagiwa sifa kibao kutokana na kwamba yeye ndiye aliyeruhusu kuingia kwa simu za mkononi wakati akiwa madarakani, jambo ambalo limerahisisha  shughuli za watu wengi nchini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?

MJENGWA

Ndugu zangu,

Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.

Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.

Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Sijakata tamaa

mbili*Asema ameshindwa pambano si vita

*Ajipanga upya agoma kueleza mikakati yake

*Ukawa wataka ZEC imtangaze Maalim Seif Z’bar

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

WAZIRI mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, amesema ataendelea kupambana katika siasa na kwamba yawezekana ameshindwa katika pambano lakini si vita.

Lowassa aliyasema hayo jana katika mkutano na waandishi wa habari, baada ya kuulizwa nini hatima yake ya kisiasa baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba...

 

11 years ago

Habarileo

'Watanzania acheni tamaa, ubinafsi'

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuachana nxa ubinafsi kwa kuridhika na walichonacho. Pia, ametaka Watanzania kujiepusha na tamaa ya kile kidogo walichonacho watu wasio na uwezo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba linakatisha tamaa

TAKRIBANI wiki moja imepita tangu kuanza kwa vikao vya Bunge la Katiba mjini Dodoma, lakini hakuna kilichofanyika hadi sasa. Tangu Bunge hilo lilipoanza, tulianza kusikia mzozo wa posho, mara wabunge...

 

11 years ago

GPL

TAMAA, UTANDAWAZI UNAWAUMIZA MADENTI

HABARI za tokea wiki iliyopita. Ni matumaini yangu kwamba wanafunzi mnaendelea vizuri na masomo na wasomaji wengine wa safu hii Mwenyezi Mungu anawabariki ili mambo yetu yaende sawa sawa. Hili ni kama hitimisho la mada yetu, ile tuliyojadili kuhusu chanzo hasa cha watu wazima kujihusisha kimapenzi na watoto wa shule, hasa wa sekondari na vyuo. Kama ilivyotokea wiki iliyopita, idadi ya wadau waliowasiliana na mimi ilikuwa kubwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, unaweza kuishinda tabia ya tamaa?

Je, wewe ni miongoni mwa watu wenye tamaa? Kama wewe huna tamaa, je, una ndugu au rafiki mwenye tamaa? Je, unafikiri tamaa ni tabia nzuri au mbaya?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani