Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Sijakata tamaa

mbili*Asema ameshindwa pambano si vita

*Ajipanga upya agoma kueleza mikakati yake

*Ukawa wataka ZEC imtangaze Maalim Seif Z’bar

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

WAZIRI mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, amesema ataendelea kupambana katika siasa na kwamba yawezekana ameshindwa katika pambano lakini si vita.

Lowassa aliyasema hayo jana katika mkutano na waandishi wa habari, baada ya kuulizwa nini hatima yake ya kisiasa baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MANAIKI: SIJAKATA TAMAA KUMUOA WALPER

Shani Ramadhani/Uwazi
MSANII filamu za Kibongo, Manaiki Sanga amefungukai kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Walper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake. Msanii filamu za Kibongo, Manaiki Sanga akiwa na msanii mwenzake, Jacqueline Walper. Akichezesha taya na Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda. “Ni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Manaiki: Sijakata Tamaa Kumuoa Wolper

Mwigizaji wa filamu mwenye mikasa ya aina yake, Manaiki Sanga  ‘The Don’ amesema kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Wolper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake.

Akiongea na Gazeti la Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda.

“Ni upande mmoja tu wa ndugu zangu ambao wapo kijijini Mbeya na hawamfahamu Walper ila sijakata tamaa na naamini watanielewa tu kwa maaana ndoto yangu...

 

9 years ago

Bongo5

Inspekta Haroun: Muziki unahitaji mapambano, sijakata tamaa

Inspekta Haroun amedai haina haja ya msanii kupata stress baada ya kutoa ngoma kadhaa na zikashindwa kufanya vizuri. Rapper huyo mkongwe amewataka wakongwe wenzake kukubali matokeo yoyote yanayotokea katika muziki wao. “Hauitaji kuwa na stress baada ya kuona huwezi kwenda popote. Unapoona umegota sehemu ujue mbele yako kuna kitu kizuri kinakuja,” rapper huyo ameiambia Planet […]

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha akata tamaa Madola

Kocha aliyekuwa na kikosi cha timu ya taifa ya riadha kilichokuwa kambini nchini China kujiandaa na michezo ya Jumuiya ya Madola, Boniface Kimisha amesema Tanzania isitarajie medali ya mbio fupi kwenye michezo hiyo.

 

10 years ago

Raia Mwema

Wasanii wetu na tamaa ya ubunge

NILIWAHI kuandika makala nyingi kuhusu sanaa na wasanii wetu hapa nchini.

Egbert Mtui

 

10 years ago

Mwananchi

Je, unaweza kuishinda tabia ya tamaa?

Je, wewe ni miongoni mwa watu wenye tamaa? Kama wewe huna tamaa, je, una ndugu au rafiki mwenye tamaa? Je, unafikiri tamaa ni tabia nzuri au mbaya?

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Watanzania wamekata tamaa

magufuli*Asema haiwezekani wachache wale kuku kwa mrija

 

Na Bakari Kimwanga, Iringa

 

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amejipanga kulipa deni kwa Watanzania kwa kuleta mabadiliko ya kweli.

Amesema pamoja na hali hiyo, anatambua namna wananchi walivyokata tamaa ikiwamo kushindwa kubadili maisha yao, kutokana na ubinafsi wa watu wachache ambao wameamua kujimilikisha rasilimali za nchi.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba linakatisha tamaa

TAKRIBANI wiki moja imepita tangu kuanza kwa vikao vya Bunge la Katiba mjini Dodoma, lakini hakuna kilichofanyika hadi sasa. Tangu Bunge hilo lilipoanza, tulianza kusikia mzozo wa posho, mara wabunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani