MANAIKI: SIJAKATA TAMAA KUMUOA WALPER
Shani Ramadhani/Uwazi MSANII filamu za Kibongo, Manaiki Sanga amefungukai kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Walper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake. Msanii filamu za Kibongo, Manaiki Sanga akiwa na msanii mwenzake, Jacqueline Walper. Akichezesha taya na Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda. “Ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 Feb
Manaiki: Sijakata Tamaa Kumuoa Wolper
Mwigizaji wa filamu mwenye mikasa ya aina yake, Manaiki Sanga ‘The Don’ amesema kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Wolper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake.
Akiongea na Gazeti la Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda.
“Ni upande mmoja tu wa ndugu zangu ambao wapo kijijini Mbeya na hawamfahamu Walper ila sijakata tamaa na naamini watanielewa tu kwa maaana ndoto yangu...
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Lowassa: Sijakata tamaa
*Asema ameshindwa pambano si vita
*Ajipanga upya agoma kueleza mikakati yake
*Ukawa wataka ZEC imtangaze Maalim Seif Z’bar
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAZIRI mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, amesema ataendelea kupambana katika siasa na kwamba yawezekana ameshindwa katika pambano lakini si vita.
Lowassa aliyasema hayo jana katika mkutano na waandishi wa habari, baada ya kuulizwa nini hatima yake ya kisiasa baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba...
9 years ago
Bongo528 Sep
Inspekta Haroun: Muziki unahitaji mapambano, sijakata tamaa
10 years ago
Bongo Movies05 Jan
Manaiki Kumposa Wolper!!!
Mwigizaji wa sinema za Kibonho, Manaiki Sanga ametangaza nia ya kutaka kwenda kupeleka posa kwa staa wa sinema, Jacqueline Wolper, kwa madai kuwa anampenda sana.
Akizungumza na mwandishi wa GPL, Manaiki alisema hapa Bongo wanaume wengi hawajui wanawake wazuri lakini kwa upande wake ameona uzuri wa Wolper ni pambo la moyo wake, atapeleka barua nyumbani kwao.
“Ni maoni yangu, mwaka huu mwanzoni napeleka posa kwa wazazi wa Wolper naamini ndiye mwanamke ambaye anafaa kuwa mke wangu labda tu...
10 years ago
GPLWAZAZI WA MANAIKI WAMTOLEA NJE WOLPER
10 years ago
Bongo Movies08 Jul
Manaiki: Mimi Kama James Cameron
MANAIKI Sanga mtayarishaji na mwigizaji wa filamu amesema kuwa wakati anaandaa filamu yake ya Wake Up alijikuta akitumia fedha zake nyingi kuishiwa na kujifanananisha na mtayarisha aghari Dunia James Cameron ilitumia fedha nyingi na kuishiwa na kuingia katika madeni alipotengeneza filamu ya Titanic.
“Nilitumia fedha nyigi sana katika kuandaa filamu ya Wake Up kwa sababu nilidhamiria kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu sikukata tamaa kwani ilikuwa ni filamu yenye bajeti kubwa...
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Wazazi wa Manaiki Wamtolea Nje Wolper
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa mrembo na mwigizaji, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao.
“Yaani nimeamini kabisa mbio za sakafuni...
10 years ago
GPLMANAIKI: NATAKA KUPELEKA POSA KWA WOLPER
10 years ago
Bongo Movies04 Aug
Manaiki Awachezesha Mastaa Hawa Maarufu Movie ya ‘Wake up’
PRODYUZA maarufu Bongo, Manaiki Sanga, hivi karibuni aliitambuLisha filamu yake mpya ya ‘Wake Up’ ambayo amewachezesha karibu mastaa wote marufu Bongo.
Akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Atriums jijini Dar es Salaam, Manaiki alisema filamu hiyo ina ubora wa hali ya juu na imekuja kufunika filamu zote za Bongo ambazo zimewahi kuchezwa.
Aliongeza kuwa filamu hiyo imesimamiwa na muongozaji maarufu mwenye ujuzi wa juu ambaye amebobea kwenye kazi ya uongozaji wa filamu, Leah...