Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, unaweza kuishinda tabia ya tamaa?

Je, wewe ni miongoni mwa watu wenye tamaa? Kama wewe huna tamaa, je, una ndugu au rafiki mwenye tamaa? Je, unafikiri tamaa ni tabia nzuri au mbaya?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Unaweza kujizuia kukata tamaa?

Unapofika mwisho wa mwaka, wengi tumezoea kutumiana salamu na kutakiana heri ya Mwaka Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Je, unaweza kushinda tabia ya wivu?

Je, una ndugu au jamaa mwenye wivu? Unafikiri ana tabia hiyo kwa nini? Je, maisha yake yakoje? Anapendwa na ndugu zake? Je, anafanya mambo gani yanayokufanya uone ana wivu?

 

10 years ago

Vijimambo

HATA WEWE UNAWEZA KUWA KAMA DULLAH USIKATE TAMAA!!

Hiyu ni Dulla Starfitness wa Brooklyn. NY  ndoto zake kuwa bingwa wa NPC Brooklyn Grand Prix, katika mashindano yaliyo fanyika mwezi wa kumi  Dulla aliingia kwenye top 5. Sasa anajifua zaidi hili atimize ndoto zake za kuwa champion wa Bikini and Physique kwenye mashindano yanayokuja.
Mashindano yaliyopita akiwa na vazi la ufukweni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Van Gaal aapa kuishinda Mancity

Louis Van Gaal anaamini kwamba timu yake itatumia fursa ya kushuka kwakiwango cha mchezo kilabu ya Manchester City.

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa Stars ijiamini iweze kuishinda Algeria

Mbio za kusaka tiketi ya kuwakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi kwa Tanzania zinaendelea leo kwa Taifa Stars kuikabili Algeria au Desert Warriors.

 

10 years ago

Mwananchi

Stars inaweza kuishinda Super Eagles tuiunge mkono

Mwishoni mwa wiki hii, timu yetu ya Taifa, Taifa Stars itaikabili timu ngumu ya Super Eagles kutoka Nigeria katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2017.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ufisadi unaweza kumalizika Kenya?

Shirika la Transparency Internatuional linasema juhudi za kutosha kukabiliana na ufisadi nchini Kenya bado hazijafanywa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuishi ukiwa uchi?

Watu wengi wasingejihisi vyema kuvua nguo zao zote na kusalia uchi wa mnyama katika maeneo ya uma,lakini kwa wengine ni maisha yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani